babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Nawaambia kila siku integration.Mimi naona hakuna haja ukifika nje kuanza tena kufuatana fuatana wabongo badala ya kutengeneza urafiki na wenyeji ambao ndo wanajua kila kitu kuhusu nchi yao. Kama unaenda nje na unaanza kutafuta wabongo wenzako bora ukabaki tu usiende. Mambo ya kufuatana fuatana kama nzi tuwaachie Machalii wa R maana wao hata wakiwa Dar lazima wajitenge.
Huwezi kwenda Ulaya we kila siku ni kukutana na wenzio toka Africa acha TZ.
Intergration unajichanganya nao na hawanaga tatizo.
Wabongo sasa.
Mkikutana mara moja tosha.
Unavunja mwezi muonane tena.
Hudaiwi.