Walikuambia wamefika kwa juhudi zao? Ujuaji wa kijinga🚮🚮🚮🚮Wakati unasema diaspora ulisema ndugu zako?
Kama mindugu yako Ina roho mbaya mbona unajumuisha diaspora wote?
Maisha yako ni jukumu lako, ndugu zako wamefika huko kwa juhudi zao wewe endelea na makasiriko ya reja reja uone kama utafika popote. Utakula vumbi Hadi upauke
Walikuambia wamefika kwa juhudi zao? Ujuaji wa kijinga🚮🚮🚮🚮
Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.Watanzania wengi hawana akili
Nimewahi kusema hapa ya kwamba huko nje kuna fursa kibao ila huwezi ona watanzania waishio huko akiwemo Kiranga wanakusanua kuhusu hilo,wao wamekalia ujinga na uzwazwa tu.
Ukiuliza fursa huko utaambiwa maisha ni magumu kwa kulipa bills,yaani kila ukiluza utaambiwa bills ni tatizo.
KWA KIFUPI.
WATANZANIA WENGI WAISHIO NJE HUKO HASA MAREKANI NI WAJINGA NA MAZUMBUKUKU
Hii logical fallacy inaitwa non sequitur.Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
Mimi ndo maana sitaki kujuana na wabongo,mimi salaam tu basi.
Sawa, lakini haki iwayo yote ni kuwaambia watu ukweli, kuliko kupotosha watu na hata kuwashawaishi kwa mambo ya anasa za kupita yanayoitwa maendeleo ya ukisasa yanayopatakiana kwenye nchi za udayaspora za ulimwengu wa kwanza na kuishia kuingia kwenye maangamivu ya umilele.Hii logical fallacy inaitwa non sequitur.
Tafuta Hela unasumbuliwa na Umaskini.Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
Happy June, Happy Summer and Happy half year 2023.
Hiyo tafsiri naweza Kisukuma tu!
Mwenzio sina wenge kihivyo, maana mtu kama wewe ungepata fursa niliyopata ya kusoma majuu ndoto zako zote usiku ni kufikiri namna ya kuzamia, pole sana ndugu unasumbuliwa na fikra za kitumwa.Tafuta Hela unasumbuliwa na Umaskini.
Hakuna uhusiano wa kuwa Diaspora na Mungu. Otherwise una chuki binafsi na Diaspora.
Nenda kaombewe una pepo la husda,chuki na umaskini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Tafuta Hela
Kiranga ametoka Tanzania ni muumini mzuri wa Kakobe,baada ya kufika nje ya Tanzania kama miaka 2 ndipo akaja na slogani ya Hakuna Mungu,huyu jamaa ni mtu mjinga sijawahi kuona duniani KirangaKama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
Siyo mjinga ni mpumbavu, maana biblia inasema 'Mpumbavu amesema moyoni kwamba hakuna Mungu"Kiranga ametoka Tanzania ni muumini mzuri wa Kakobe,baada ya kufika nje ya Tanzania kama miaka 2 ndipo akaja na slogani ya Hakuna Mungu,huyu jamaa ni mtu mjinga sijawahi kuona duniani Kiranga
Qualification uzaliwi nazo unapata tuu we toa mchongo na qualification na accessibility yakeMkuu wewe unataka fursa gani? Una qualification gani? Unataka mtu aliye nje akusaidie vipi?
Sasa si bora hata huko majuu hapa hapa bongo unakuta mtu analeta pigo hizo alafu akizidiwa na maisha bado anakutafuta kukupiga mizinga. Kwa sisi tulio hapa nchini tunawaelewa sana cha kufanya ukiwa nje ya nchi kata mazoea na wabongo wajinga wajinga maisha unatafuta mwenyewe kwann usumbuke na watu watakaokurudisha nyumaYaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera.
Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu, unafiki, uzandiki pamoja na ukora tu.
Juzi kuna watu wabongo wajinga wamemchoma mwenzao mpaka ameenda kwa sello kisa jamaa mambo yake yanaenda na anapiga hela nyingi, kwahiyo wajamaa wameamua kumchoma, upuuzi! Nyie wabongo tabia yenu ya kipuuzi huko kwenu muiachane huko huko.
Yaani wabongo acha tu,wabongo ni salaam,na kushirikiana nao kwenye misiba tu labda na kwenye sherehe,ingawa mimi sherehe huwa sihudhurii.Misiba Ugonjwa ninashiriki.Yaani wabongo usiruhurusu wakujue,wakuzoee kindani ndani .Hata sumu wanaweza kukuwekea.Hii ni kweli kuna jamaa yeye yupo UK,akamsaidia kijana mwenzio wa kinondoni na akafika UK na akafikia kwake,baada ya ujua mitaa na akapata jimama la huko likawa linamtunza mana jamaa design mvivu,visa vikaanza akawa anasema kwa ndugu mambo mabaya kuhusu rafiki yake aliyemsaidia kufika UK, eti anamuonea wivu na vitu vya ajabu kibaooo!yule kaka akasema akamuita kumuuliza maneno anayosema kuhusu yeye na km kweli alikuwa anamuonea wivu angemsaidia kufika UK?jamaa akakaa kimya?. ikabidi amtimue akakae na huyo jimama lake wakati kabla ya hapo alikuwa analishwa na kukaa kwa huyo rafiki yake,hao ndio Wabongo.
Kuna wakati wanakatisha tamaa kuwasaidia kufika nchi za watu.
Yaani wabongo acha tu,wabongo ni salaam,na kushirikiana nao kwenye misiba tu labda na kwenye sherehe,ingawa mimi sherehe huwa sihudhurii.Misiba Ugonjwa ninashiriki.Yaani wabongo usiruhurusu wakujue,wakuzoee kindani ndani .Hata sumu wanaweza kukuwekea.