jibu swali unafanya kazi gani? Sijakuuliza kama umekula ata mbuzi anakula pia
Mimi sipo ulaya, Lakini wewe kazi ya mtu itakusaidia nini? Hata akikwambia anafanya biashara, anazibua mitaro, ni houseboy wa mtu, ana kampuni au hafanyi kazi anasoma, au anabeba box wewe inakusaidia nini?
Jaribu kuanzisha thread za maana, kuna vitu vingi vya kujadili kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii, sio kukaa kuuliza maswali asiyo na kichwa wala miguu
Hivi wakazi walioko Mwanza wanafanya kazi gani? mfano na mimi huwa wananitumia picha wakiwa mashambani.....Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
Poor comment ujasaidia lolote bado hupo pale kwa mleta hojaWaambie wakutumie picha wakiwa ofisini
Kuna wengine wanaskills kabisa,ila huko waliko hizo nchi zinawapa vipaumbele wazawa kwanza kuliko wagenimkuu nataka ujue watanzania hatukubahatika kuwa na skill'sasa hilo tatizo limesababissha wengi tuwe na maisha ya kubahatisha kwa sababu hatuna ujuzi maalum'sasa ukiwa nje ya nchi hii inabidi ufanye kazi yoyote ile ili uweze kuishi'sasa kama unataka kujua anzia hapo kufikiri
Utakuwa nje wewe!Poor comment ujasaidia lolote bado hupo pale kwa mleta hoja