Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Boss wabongo kwa kifupi hatuna utamaduni huu sisi tuna roho ya kwanini ingekuwa kusaidiana wengi wangekuwa huko kwanza sisi ni wa kwanza kuchomana wenyewe kwa wenyewe halafu unategemea ni wabongo wangapi watasaidia wenzao kwenda nje kuna wafilipino na wathailand kibao wamejaa Casino za Kilimanjaro Hyatt, Le Grand na Sea Cliff mbongo akiwa nje hata ukiwa unafanya jitihada za kwenda huko utasikia anakwambia huku hakufai usije..

wewe anza na ndugu zako tu aisee
mimi nna binadamu sielewani nao sana
lakini bado nataka niwasaidie watoke
sometimes roho mbaya huletwa na 'umasikini na kukosa exposure'
 
Mimi nipo hapa Sri Lanka nimefungua kiduka cha spices na kondom. Huwez kuamini bana huku imani ni nyingi sana, kuna watu wanaabudu mpaka meno ya panya
 
wanafanya kazi mbali mbali kulingana na utaalamu walionao! Hivyo ukijua wao wataalamu wa nini inatosha kabisa kurelate na kazi wanazofanya... Lakin wengine wanasell "flour", sweep toilet'e' etc
 
Rafiki yangu anaendesha lori la taka . Amenambia mwenyewe.
 
sasa hivi nafuga mkia kwanza
ndevu nazo za kutosha
siogopi kutumiwa na mtu ili nipate nachokitaka

tena nawafurahisha sana
nimejjifunza na kuwika kazisa
jitahidi uongeze ndevu na hizo ulizo nazo usikate kabisa kuwa kama samson..ulipo shika shikiria endelea kuwafurahisha wazungu
 
Mi nilianza supermarket cashier part time apo washington dc na kufagia kwenye apartment part time,nilivyomaliza chuo,nikaanzisha biashara ya kuuza madini,nakuja tz na kenya nanunua madini ya aina tofauti napeleka marekani kuuza kwa bei mbaya sana,wakat uku nanunua kwa bei ya kutupwa sana,life inasonga
 
Jamani tulioko sudani kusini nako tuko nje au mnazungumzia ulaya tu,..?
 
hata nilivyokuwa huko sikuwahi kulala njaa
siogopi kazi yeyote halali
nazibua vyoo, nalima, naosha magari, nachoma vitumbua n.k

Rudi nyumbani ndugu, siku hizi hakuna njaa kama ile ya wakati unaondoka nchini.mwaka huu mvua ni nyingi tunategemea kupata mazao kwa wingi
 
good,usisahau na ndugu zako
sio lazima uwalete unapoishi..
unaweza kuwaleta jimbo lingine....
saidia wengi inavyowezekana
Yes indeed! Aidha ni vema kwa kila anayehitaji kutoka nje ya TZ kujua ni nini anataka! Huu ndio msingi mkubwa wa kuishi.
 
MTM ....
Tena serikali ikiingiza mkono wake hata masuala ya visa na vibali vya kufanya kazi
yanakuwa rahisi mno.....
fikiria Kikwete amshirikishe Andrew Young na wengine kwenye kuhakikisha kila
Mtz aliye marekani ana access na kupata 'education 'akitaka....itakuwa rahisi zaidi
tunaweza kuwa na Tanzanian -American Society maalum kwa kutoa msaada wa Kielimu kwa wabongo waliopo USA
na kama nilivyosema pesa inaweza kupatikana kwa matamasha na kadhalika...
nchi nyingi wanafanya....

There you go... we can do that

On your point re walio nje, wanafanya nini na hesabu yao, i can tell you; hata walio dar/tz (na hasa sasa unemployment ilivyo juu) huwezi kujua wanafanya nini, tumeshindwa kulinda mazao yetu

i think we have hadi kufikia 50% ya wabongo walio kwenye inoformal sector ughaibuni na baadhi yao hawako na details zao kwani walishadestroy. the same kwa bongo, sidhani kama tunaweza kweli kusema nusu ya vijana wa tanzania wanafanya nini!!!! HATUWEZI tunaishia kusema wamejiajiri, which is not true

ningependa sana kuona serikali inasaidia vijana kupata hata zile short term contracts nje na kusaidia zile remittance hata kwenye vitega uchumi from a distance

Nimekuta wakenya wana agents wa equity bank in many countries na jamaa wanasema wakenya wananunua sana nyumba nyumbani kwa kutumia facilities za fedha za marekani under special agreements

there is always alot to learn
 
Wabeba mabox utawajua tu semeni ukweli mnatawaza wazee, wanawaharishia na kuwatapikia, mna fanya kazi za uhouse boy/girl japo kuna wachache wanafanya kazi za maana kama kudrop parcels, kusort barua na kupanga bidhaa supermarkets na uwaeita hotelini (hehehe eti hizi za maana mweh) na wengi wenu mashoga, na wauza unga rudini bongo hata kama kuna mafuriko ni bora niwe Mbwa nyumbani kuliko kuwa mtumwa nchi za watu. Nagongelea msumari wa moto mwenye ubavu auchomoe
 
Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!
 
Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!
Life is tough in bongo...and it is no piece of cake in the U.S. too. But the way our visiting relatives see it, dollars grow on trees and they have their traveling bags ready to pluck and pack them.....
 
Back
Top Bottom