Boss wabongo kwa kifupi hatuna utamaduni huu sisi tuna roho ya kwanini ingekuwa kusaidiana wengi wangekuwa huko kwanza sisi ni wa kwanza kuchomana wenyewe kwa wenyewe halafu unategemea ni wabongo wangapi watasaidia wenzao kwenda nje kuna wafilipino na wathailand kibao wamejaa Casino za Kilimanjaro Hyatt, Le Grand na Sea Cliff mbongo akiwa nje hata ukiwa unafanya jitihada za kwenda huko utasikia anakwambia huku hakufai usije..
Kadhaa, zaidi ni rafiki zangu niliosoma nao...na wewe umewaita ndugu zako wangapi?
Kadhaa, zaidi ni rafiki zangu niliosoma nao...
Mie niko Uk, ni simba wa maonesho.
jitahidi uongeze ndevu na hizo ulizo nazo usikate kabisa kuwa kama samson..ulipo shika shikiria endelea kuwafurahisha wazungu
Rudi nyumbani ndugu, siku hizi hakuna njaa kama ile ya wakati unaondoka nchini.mwaka huu mvua ni nyingi tunategemea kupata mazao kwa wingi
Mimi nipo hapa Sri Lanka nimefungua kiduka cha spices na kondom. Huwez kuamini bana huku imani ni nyingi sana, kuna watu wanaabudu mpaka meno ya panya
Jamani tulioko sudani kusini nako tuko nje au mnazungumzia ulaya tu,..?
Wengine kazi zao sio za ofisini ila wanapokea pia...Waambie wakutumie picha wakiwa ofisini
Yes indeed! Aidha ni vema kwa kila anayehitaji kutoka nje ya TZ kujua ni nini anataka! Huu ndio msingi mkubwa wa kuishi.good,usisahau na ndugu zako
sio lazima uwalete unapoishi..
unaweza kuwaleta jimbo lingine....
saidia wengi inavyowezekana
mimi ni conda,gari ninaloconda ndo ofisi yangu.SI lazima iwe ndani ya jengoWengine kazi zao sio za ofisini ila wanapokea pia...
MTM ....
Tena serikali ikiingiza mkono wake hata masuala ya visa na vibali vya kufanya kazi
yanakuwa rahisi mno.....
fikiria Kikwete amshirikishe Andrew Young na wengine kwenye kuhakikisha kila
Mtz aliye marekani ana access na kupata 'education 'akitaka....itakuwa rahisi zaidi
tunaweza kuwa na Tanzanian -American Society maalum kwa kutoa msaada wa Kielimu kwa wabongo waliopo USA
na kama nilivyosema pesa inaweza kupatikana kwa matamasha na kadhalika...
nchi nyingi wanafanya....
Life is tough in bongo...and it is no piece of cake in the U.S. too. But the way our visiting relatives see it, dollars grow on trees and they have their traveling bags ready to pluck and pack them.....Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!