Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?



mimi nasema serikali ikishindwa tujaribu sisi wenyewe tu
vitu kama events za kitanzania nje ya nchi
mfano miaka 50 ya uhuru tungeweza hata kuwa na big concert london au kwenye miji
ambayo wabongo wapo wengi,mfano Houston....
unakumbuka mandela b day ya london????/
 
heri kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadamu afrika, usemi huu unamaana gani? hebu tafakari wewe?
 
Waambie wakutumie picha wakiwa ofisini

U ARE RIGHT BUT SOMEHOW U ARE TOTALLY WRONG, wanaweza kwenda ofisini na wakapiga hizo picha. cha Msingi aseme wanafanyakazi gani majengo gani.
 
Mimi nafanya kazi zifuatazo:

1. Regular floor maintenance
2. Dish washer manager.
3. Chief kitchen operations manager.

Usicheke, oooh,

pia ni:
- snow removing engineer
- sewarage systems clearing technician.
-Certified tree cutter.

Hizi kazi babu zinanipa hela ya bills zangu zote na cha juu kibao kinabaki na vilevile kijijini kwetu gorofa limeshakamilika. Njoo babu tuungane........!
 
Life is tough in bongo...and it is no piece of cake in the U.S. too. But the way our visiting relatives see it, dollars grow on trees and they have their traveling bags ready to pluck and pack them.....
word....
 
Unaongelea mvua hizi za mafuriko? Mazao kwa wingi unamaanisha kambale ama vyura?
Rudi nyumbani ndugu, siku hizi hakuna njaa kama ile ya wakati unaondoka nchini.mwaka huu mvua ni nyingi tunategemea kupata mazao kwa wingi
 
That is quite the same as relatives from upcountry when they visit their siblings in town. They don't know that u go out of ur way to give them a good time becoz they ar visiting. They think u eat at Hilton and Sea cliff everyday! Its normal bro!
Life is tough in bongo...and it is no piece of cake in the U.S. too. But the way our visiting relatives see it, dollars grow on trees and they have their traveling bags ready to pluck and pack them.....
 
Fynest achana na swala la "roho ya kwanini".
Binafsi nimewachoka wabongo na hata nikiwa na dili la ukweli sisumbuki maana nawajua, mtu anaomba kwa mbwembwe umtafutie scholarship alafu ukimpatia tena zile za uhakika hata maombi hatumi.Watu wasanii mpaka kwenye mambo yanayowafaidisha wenyewe.
Bila kusahau wale unaowasaidia alafu wewe ndie unaelipa malipo. . . . kumsaidia mbongo ni sawa na kukubali kesi.Sitaki kabisaaaaa. . . .. .
 

hapa mkuu unadanganya labda hizo za chini kama kweli ungekuwa huko ungesema..
 


Kama unataka UOLEWE tutakuambia tunafanya nini huku. Kama hauhitaji, kazi ya nini wewe kujua? Ondoa utando katika ubongo wako kabla haujauliza swali humu au kutoa wazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…