Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

Wabongo mmeifanya Telegram ionekane ya kihuni hata kwa watu wastaarabu

ila inatumia mb nyingi sana telegram...
Sema ww umeiruhusu iwe Ina download halafu usichokijua uchafu wote unaenda kwenye file manager utakuta ka file kamejiandika telegram ukifungua unakuta vitu vyote nilivhukuaga cm ya Dogo language nikakuta nilimcheka Sana alishangaa
 
Back
Top Bottom