Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,088
- 2,231
Sema ww umeiruhusu iwe Ina download halafu usichokijua uchafu wote unaenda kwenye file manager utakuta ka file kamejiandika telegram ukifungua unakuta vitu vyote nilivhukuaga cm ya Dogo language nikakuta nilimcheka Sana alishangaaila inatumia mb nyingi sana telegram...
Imefungiwa sahvTelegram sipokei sms code shida ni nini
Sorry, niliibiwa simu yangu May 2024. Hivyo nilipoteza kila kituSantia yupo toka mwaka gani?
Santia yupo toka mwaka gani?