Wabongo tuache unafiki

Sawa tumekusikia lakini unatakiwa ujue kuwa unafiki hatuwezi kuacha,maana upo Kwa wananchi,Kwa viongozi,Kwa wanamuziki,viongozi wa dini, wanamichezo kote huko unafiki upo....
Basi walau tupunguze.
 
Mkuu jitolee kuwafunza shabaha.

Na akikosa mara mbili napiga ya sikio
Mafunzo yetu yalikuwa magumu sana
Uko kwenye boat inayokimbia na unalenga [emoji457] target
Sasa hawa mtu kasimama na unakosa kwa risasi zote hizo
Hao walikuwa madereva tu naona [emoji23]
 
Tatizo wamerelax sana maana kazi yao huwa ni kuzibeba tu.
Ila kutumia ndo hawatumii
 
Tatizo maneno yao huwa yanatufanya tuamini wapo vizuri kuliko uzuri wenyewe...sasa nahisi huwa ni mikwala tu
 
Kwakweli kiongozi tulia tu tuwalaumu vizuri mission kama hizi angepewa hata muwindaji tu! Yani angelenga mikono tu na mtuhumiwa asingekuwa na madhara
Ngoja tuunganishe dots bila shaka mwisho utaelewa kwa nini kilifanyika hiki.
 
Jamaa yupo katika ya barabara nusu saa nzima askari wanafuatua hewa tu

Hawa wanajua kushughulikia wapinzani tu
 
Jamaa yupo katika ya barabara nusu saa nzima askari wanafuatua hewa tu

Hawa wanajua kushughulikia wapinzani tu
Hawana experience na vita watafanya nini unazani.
 
Kiukweli vyombo vya usalama havikutakiwa kumuua ndugu Hamza, watu wa usalama laiti wangekua na smart wangempiga sahemu nyngine ili tu kumnyong'onyeza na sio kumuua. Hilo limesababisha kukosa taarifa za uchunguzi toka kwa muhusika.
 
Mbona wapinzani huwa mnawaonea!?? Na kujifanya mu wajuaji!?? Hapo vipi!?? Pambaneni na hali zenu !!!
Eti!! Mtu ana bastola anapora bunduki mbili kwa mpigo!?? Hahaaa hahaa aiseee
 
Ni njaa ndo inasababisha,sasa ili tupunguze inatakiwa tushibe..Ila kama njaa itaendelea kuwa nasi basi unafki hatutoacha.
Ili tushibe inatakiwa waache tozo eti
 
Kiukweli vyombo vya usalama havikutakiwa kumuua ndugu Hamza, watu wa usalama laiti wangekua na smart wangempiga sahemu nyngine ili tu kumnyong'onyeza na sio kumuua. Hilo limesababisha kukosa taarifa za uchunguzi toka kwa muhusika.
Nao wanadamu wanaogopa wewe jamaa kajiamini kiasi hicho unazani kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…