Wabongo tumekichafua Insta.. Picha ya Miss TZ ina Comments nyingi kuliko followers

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083
Daah... Hili ni balaa lazima dunia isimame..








Lazima dunia ijue kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania..


Pongezi kubwa Kwa Mange Kimambi japo huwa namchambaga anapoongelea siasa..


Go the na andika Tanzania inatosha... Hata ikiwezekana andika moja ya kivutio cha utalii unachojivunia...
 
Aisee hadi warembo wengine watakuwa washajua Tanzania kitu gani maana katika picha ya mrembo wabongo wame-comment TANZANIA
 
usikute page sio ya miss wolrd ni lijitu tu huko newyork halina kaz kula kulala limefungua page si tuna piga kura kwa fujo
Ni official
 
Team Janja Janja Safi Sana kwa kutupa Ma-ideas.
 
Sasa hivi zipo 30,000+ na kinachoandikwa ni TANZANIA
 
Duhhhh wadau wamechafuaaaaaa balaaaaa.....mamiss wa nchi zinginee wadau wamepost TANZANIA
 
Sijawaelewa mnachojivunia nini?

Huu utumwa mambo leo wa huyu mjukuu wetu kwenda kuanikwa akitembezwa kuuzwa kwa wazungu?
Haya mambo ya vijana wewe bibi tulia ivo ivo mrembo wetu atuletee ushindi nyumbani
 
Naam, mimi mawazo yangu ya kizamani. Wewe mwenye mawazo mapya mama'ko au dada'ko unaweza mtembeza nusu uchi mbele ya wazungu, kumuuza?
Mtoto wangu namuandaa akatembee huko... We endelea kuvaa Shungi tu wakati mkuu anakula kama kawaida
 
Ukiachana na Watanzania kuwa na tabia chache za ajabu( mfano kula misaada) najivunia sana kuwa mbongo,tunajua kupiganiana sana
Yeah man hii spirit ikiendelea tutatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…