Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Ha haaa haaaa kula misaada! IPI hiyo?Ukiachana na Watanzania kuwa na tabia chache za ajabu( mfano kula misaada) najivunia sana kuwa mbongo,tunajua kupiganiana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa haaaa kula misaada! IPI hiyo?Ukiachana na Watanzania kuwa na tabia chache za ajabu( mfano kula misaada) najivunia sana kuwa mbongo,tunajua kupiganiana sana
Mtoto wangu namuandaa akatembee huko... We endelea kuvaa Shungi tu wakati mkuu anakula kama kawaida
U are old fashionSijawaelewa mnachojivunia nini?
Huu utumwa mambo leo wa huyu mjukuu wetu kwenda kuanikwa akitembezwa kuuzwa kwa wazungu?
Haya mambo ya vijana wewe bibi tulia ivo ivo mrembo wetu atuletee ushindi nyumbani
U are old fashion
Hahahahaaaaa!!!Usiwe na mafikirio hasi ndugu yangu,amini ni yeye huyu binti yetu Mtanzania.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]usikute page sio ya miss wolrd ni lijitu tu huko newyork halina kaz kula kulala limefungua page si tuna piga kura kwa fujo
We bibi tulia bana.. Kha!! Unataka kusema we hujawahi kaa uch*
Mbele yangu Kwa lengo lini?Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.
Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
We bibi mbona Umekazania sana hiyo mama'ko na dada'ko? Mbona kuna nchi za Arabia wanatoa warembo wakashiriki? Tuliza mshono,hatupo katika zama unazofikiria wewe.Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.
Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
Kuna watu ndo mana hawana maendeleo kwa fikra zao za kimaskinii...Sijawaelewa mnachojivunia nini?
Huu utumwa mambo leo wa huyu mjukuu wetu kwenda kuanikwa akitembezwa kuuzwa kwa wazungu?
ndio maana yanaitwa mashindano! aliyeshinda ndio anaendaMama'ko au dada'ko wamezeeka? Kwanini huwafanyishi hivyo?
Wee mla Ngamia tulia basi.Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.
Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
nilikutana na clip 1 millard ayo mamiss wa huko wakiimba hainaga ushemeji akiwepo na miss tzAisee hadi warembo wengine watakuwa washajua Tanzania kitu gani maana katika picha ya mrembo wabongo wame-comment TANZANIA
HahahahaSijawaelewa mnachojivunia nini?
Huu utumwa mambo leo wa huyu mjukuu wetu kwenda kuanikwa akitembezwa kuuzwa kwa wazungu?