Wabongo tumekichafua Insta.. Picha ya Miss TZ ina Comments nyingi kuliko followers

Wabongo tumekichafua Insta.. Picha ya Miss TZ ina Comments nyingi kuliko followers

Mtoto wangu namuandaa akatembee huko... We endelea kuvaa Shungi tu wakati mkuu anakula kama kawaida

Nimekuuliza kuhusu mama'ko na dada'ko, wewe mwenyewe mtoto, huyo mtoto umtoe wapi?

Unanchekesha.
 
usikute page sio ya miss wolrd ni lijitu tu huko newyork halina kaz kula kulala limefungua page si tuna piga kura kwa fujo
Hahahahaaaaa!!!Usiwe na mafikirio hasi ndugu yangu,amini ni yeye huyu binti yetu Mtanzania.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
1481794724953.png
 
Kweli anakimbiza sasa hizi zinamsaidiaje kwenye kushinda naombeni mtujuze
 
We bibi tulia bana.. Kha!! Unataka kusema we hujawahi kaa uch*

Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
 
Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
Mbele yangu Kwa lengo lini?

Hapo yupo Kwenye mashindano... Hebu kuwa na Akili kidogo hata ya kuombea maji...
 
Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
We bibi mbona Umekazania sana hiyo mama'ko na dada'ko? Mbona kuna nchi za Arabia wanatoa warembo wakashiriki? Tuliza mshono,hatupo katika zama unazofikiria wewe.

Saa zingine utumie ubongo kufikiria na ujue dunia haitabaki stagnant milele.
 
Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
Wee mla Ngamia tulia basi.
unafahamu uchi wewe?
 
Aisee hadi warembo wengine watakuwa washajua Tanzania kitu gani maana katika picha ya mrembo wabongo wame-comment TANZANIA
nilikutana na clip 1 millard ayo mamiss wa huko wakiimba hainaga ushemeji akiwepo na miss tz
 
Back
Top Bottom