Wabongo tumekichafua Insta.. Picha ya Miss TZ ina Comments nyingi kuliko followers

Wabongo tumekichafua Insta.. Picha ya Miss TZ ina Comments nyingi kuliko followers

BARAKA ZINAKUJA TANZANIA KAA MKAO WA KUZIDAKA. ..
 
Kuwa na positive thoughts baraka zako zitafunguka
 
Tanzania ndo nchi inayoongoza duniani kwa raia wake kutokuwa na kaz na haya ndo madhara yake japokuwa hapa ni faida
 
Inawezekana kulike picha ya mtu ambaye haumfuati na kukomenti pia, inawezekana ww tu hauna huo utaalam
 
Daah... Hili ni balaa lazima dunia isimame..

d57a29db75d30197f67c7c4b9bfd502e.jpg

ffc19229225ba486523c02a9a56acd90.jpg

Lazima dunia ijue kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania..

Pongezi kubwa Kwa Mange Kimambi japo huwa namchambaga anapoongelea siasa..

Go the na andika Tanzania inatosha... Hata ikiwezekana andika moja ya kivutio cha utalii unachojivunia...
Inatia huruma vinchi vingine comments 3. I think tz bando ze2 n rahic au ndo kukosa kaz
 
Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?
bibi naomba msaada hatua za kufuata katika ufugaji wa nguruwe
 
Inatia huruma vinchi vingine comments 3. I think tz bando ze2 n rahic au ndo kukosa kaz
kwani mkuu kuandika tanzania na hayo maelezo yako yapi mengi? na wewe hauna kazi?
 
Daah... Hili ni balaa lazima dunia isimame..

d57a29db75d30197f67c7c4b9bfd502e.jpg

ffc19229225ba486523c02a9a56acd90.jpg

Lazima dunia ijue kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania..

Pongezi kubwa Kwa Mange Kimambi japo huwa namchambaga anapoongelea siasa..

Go the na andika Tanzania inatosha... Hata ikiwezekana andika moja ya kivutio cha utalii unachojivunia...
Watz wengi tunapenda ushindi.wa mezani watu wanalilia tuzo mpaka ushindi unatenguliw
 
Hii ndo shida nchi zilizokuwa za kijamaa kugundua ubepari wananchi wanakuwa na mihemko ya kijinga. Miss world nacho ni kitu cha kujivunia kama nchi?? Kwenye michezo tupo zero, elimu zero mnashangilia Miss vichupi this is sad.
 
Sijajianika na kujiuza kwa wazungu kama afanyavyo huyo mjinga mwenzenu.

Vipi, mama'ko na dada'ko wanjiachia uchi au nusu uchi mbele yako?

Kuliko kumegwa na wauza mkaa bongo kama team fulani si bora nimuuze kwa wazungu kama akina fulani majuzi juzi nimeona wanakunja one bilioni Parisi. So hoja ya kutembea uchi kwa wazungu haina mashiko maadam halazimishwi mtu.
 
Back
Top Bottom