Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

Si bora angevua kabisa akatembea bila nguo kabisa????. Vikundi vya kutetea haki za akina mama huwa vinakuwa wapi watu kama hawa wanapowadhalilisha akina mama??? Sasa hapo akibakwa atasema kaonewa au yeye amewakaribisha wabakaji???

Hizi Tamwa na Tawla etc huwa hata siku moja hazihangaiki kumshauri mwanamke ajiheshimu bali wao ni kuhubiri uhuru wa mwanamke, yaani afanye lile analotaka. Hata siku moja hujisikia zikekemea mwanamke mwenzao kwa tabia mbovu.
 
Mbongo avae hivyo na hicho kitambi atakiweka wapi?

Waxing jee?!

Jamani mbona mnatusimanga kina MADAM T, kitambi kinazuia nini sasa.. si natafuta saizi yangu tu, swala ni kuamua kuvaa au kutokuvaa sio umbile, ngoja niitafute niivae nitawaletea picha muonee kama sitapendeza..
 
jamani mbona mnatusimanga kina madam t, kitambi kinazuia nini sasa.. Si natafuta saizi yangu tu, swala ni kuamua kuvaa au kutokuvaa sio umbile, ngoja niitafute niivae nitawaletea picha muonee kama sitapendeza..

ukivaa upite mitaa ya kwetu mwaya maana na mi ntakuwa nnayo nshaweka oda kwa fundi tayari.
 
Kwa kweli inabidi ifike wakati watetezi wa kina mama watoe tamko rasmi kuhusu kina mama na kina dada waojidhalilisha. Wanaume wakivaa kata k mara nyingi huvaa fulana ndefu na huwezi ukakuta mwanaume kavaa vset/ singland akaenda nayo mjini lakini kina dada wanavaa vinguo vya ajabu sikuingine mdada flani alipata wakati mgumu wakati nyonyo lake lilipochomoka alipoinama kujifuta kibana miguu/kitight chake.
 
ukivaa upite mitaa ya kwetu mwaya maana na mi ntakuwa nnayo nshaweka oda kwa fundi tayari.

We niambie tu mitaa ya kwenu na nipite saa ngapi, yaani masimango yamenihamasisha kweli kuvaa hilo vazi
 
Si bora angevua kabisa akatembea bila nguo kabisa????. Vikundi vya kutetea haki za akina mama huwa vinakuwa wapi watu kama hawa wanapowadhalilisha akina mama??? Sasa hapo akibakwa atasema kaonewa au yeye amewakaribisha wabakaji???

hapo amewadharirishaje akina mama?, mi nadhani anawadharirisha akina baba maana boxer zinafanya kazi ya ziada.
 
We niambie tu mitaa ya kwenu na nipite saa ngapi, yaani masimango yamenihamasisha kweli kuvaa hilo vazi

Vaa kama umemiss kubakwa, huwajui wabongo vizuri, litatokea dungadunga usipotarajia utajuta maana hata zana haitakuwepo.
 
Vaa kama umemiss kubakwa, huwajui wabongo vizuri, litatokea dungadunga usipotarajia utajuta maana hata zana haitakuwepo.

He! nimeaihirisha.. kumbe ntabakwa. Tatiana bwana tuache tu, tuwapotezee wanaodharau shepu za wenzao
 
Mh!jamani mbona tunahalibiana siku,wengine ndiyo ngoma zetu hizo,natamani kuingia na kucheza!!
 
Vaa kama umemiss kubakwa, huwajui wabongo vizuri, litatokea dungadunga usipotarajia utajuta maana hata zana haitakuwepo.

Siyo dungadunga tu!hata hawa vichaa wanatamani sana mambo hayo!
 
hivi mbona wanabaka hata watu waliojisitiri? Ukiangalia kwa undani sana matukio ya ubakaji utagundua hili.

Hapo Tatiana umeongea point, hadi ndani ya daladala ikiwa na watu wamejaa hua kuna "attempt za kubaka". Mtu anamalizia hamu yake kwenye nguo ya mwanamke .............
 
Mbongo avae hivyo na hicho kitambi atakiweka wapi?

Waxing jee?!

Kweli Gaijin,kuiga inawezekana ila sasa wenzetu ndo wanafanya waxing wako smooth sana huko chini,wanaotumia viwembe na mikasi hawana guts za kuvaa hivyo! bongo uvae hivyo kina Hashy wasio na punje ya uvumilivu watakumaliza...................lol
 
Back
Top Bottom