Wabongo tunapenda kwenda na wakati, tuige na hii!!

He! nimeaihirisha.. kumbe ntabakwa. Tatiana bwana tuache tu, tuwapotezee wanaodharau shepu za wenzao

Madam T, ukuvaa hicho kivazi huwezi kubakwa, ila utaharibu plan za watu. Mfano, mtu alipanga kwenda Nairobi, lakini anaamua kuahirisha safari na kukufuatilia kujua unaelekea wapi?:smile-big:
 
he! Nimeaihirisha.. Kumbe ntabakwa. Tatiana bwana tuache tu, tuwapotezee wanaodharau shepu za wenzao

hahaaa,unaogopa kubakwa! Kweli uahirishe maana wanaharakati wanahamasishwa kweli kuhusu swala hili,unaweza jikuta umewekwa selo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…