Wabongo Wabishi. Land Rover Defender 110 2020

Toyota raha yake ni pale unapoenda Service hofu amna. Ila hao waingereza ni balaa, ukigusa bei ya shockup tu ni msiba 😂 ukienda ilala maustaz wanakugombania kama mfungwa mpya akiingia jela.
 
Toyota raha yake ni pale unapoenda Service hofu amna. Ila hao waingereza ni balaa, ukigusa bei ya shockup tu ni msiba 😂 ukienda ilala maustaz wanakugombania kama mfungwa mpya akiingia jela.
Aaah Bongo raha sana ukiwa na Toyota aisee. Subaru tu watu wanachemshaga sasa ndo uwe na hizo habari za Volvo,Audi,Vw yaaani we ni mgodi
 
Aaah Bongo raha sana ukiwa na Toyota aisee. Subaru tu watu wanachemshaga sasa ndo uwe na hizo habari za Volvo,Audi,Vw yaaani we ni mgodi
Watu si wanatafutaga umaarufu. Hakuna umaarufu kwenye kuingia gharama za juu za uendeshaji ilihali kipato kidogo. Wacha tuishi na Toyoda tu, ukiwa na kigari jamii ya corrolla ndio dah! Wewe ukiwa na laki 2.5 tu kila ifikapo muda wa service gari inakuwa mpyaaa😂😂😂
 
Jamii forum kila mtu anamiliki hayo magari
 
team cruser tunakikao cha dharura mjulishe na mwenzio upatapo taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…