Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota raha yake ni pale unapoenda Service hofu amna. Ila hao waingereza ni balaa, ukigusa bei ya shockup tu ni msiba 😂 ukienda ilala maustaz wanakugombania kama mfungwa mpya akiingia jela.Ndo ubishi wenyewe nauongelea. Wewe unajua magari
Halafu mie ni mpenz wa Magari
Nna Land Cruiser mkonge kongwe balaa
Na nna Land Rover 110
Na Nissan Pathfinder najua utamu na kitonga ya Toyota aisee. Ndo maana nilipoona hiyo Defender 2020 nimemnyooshea mikono jamaa aliyeivuta fasta
Aaah Bongo raha sana ukiwa na Toyota aisee. Subaru tu watu wanachemshaga sasa ndo uwe na hizo habari za Volvo,Audi,Vw yaaani we ni mgodiToyota raha yake ni pale unapoenda Service hofu amna. Ila hao waingereza ni balaa, ukigusa bei ya shockup tu ni msiba 😂 ukienda ilala maustaz wanakugombania kama mfungwa mpya akiingia jela.
Watu si wanatafutaga umaarufu. Hakuna umaarufu kwenye kuingia gharama za juu za uendeshaji ilihali kipato kidogo. Wacha tuishi na Toyoda tu, ukiwa na kigari jamii ya corrolla ndio dah! Wewe ukiwa na laki 2.5 tu kila ifikapo muda wa service gari inakuwa mpyaaa😂😂😂Aaah Bongo raha sana ukiwa na Toyota aisee. Subaru tu watu wanachemshaga sasa ndo uwe na hizo habari za Volvo,Audi,Vw yaaani we ni mgodi
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2] Diamond ndio kawa SI unit ya machalii siku hizi ahh!!!????ila bei yake mbona ni milioni kama 110 tu nahisi hiyo wengi wanaimudu kununua hata diamond anaweza nunua hiyo
Ninavyojua landrover 110 hazitengenezwi tena
Jamii forum kila mtu anamiliki hayo magariNdo ubishi wenyewe nauongelea. Wewe unajua magari
Halafu mie ni mpenz wa Magari
Nna Land Cruiser mkonge kongwe balaa
Na nna Land Rover 110
Na Nissan Pathfinder najua utamu na kitonga ya Toyota aisee. Ndo maana nilipoona hiyo Defender 2020 nimemnyooshea mikono jamaa aliyeivuta fasta
nimezipata mkuuteam cruser tunakikao cha dharura mjulishe na mwenzio upatapo taarifa
Hii chumaa ndo naitaka kwa misheee zangu
Diamond ndio kipimoila bei yake mbona ni milioni kama 110 tu nahisi hiyo wengi wanaimudu kununua hata diamond anaweza nunua hiyo
new models zimekuwa hazinivutiiOwner: Naambiwa Omar BakhresaView attachment 1653222