Wabongo Wabishi. Land Rover Defender 110 2020

Ndo ubishi wenyewe nauongelea. Wewe unajua magari

Halafu mie ni mpenz wa Magari
Nna Land Cruiser mkonge kongwe balaa
Na nna Land Rover 110
Na Nissan Pathfinder najua utamu na kitonga ya Toyota aisee. Ndo maana nilipoona hiyo Defender 2020 nimemnyooshea mikono jamaa aliyeivuta fasta
Toyota raha yake ni pale unapoenda Service hofu amna. Ila hao waingereza ni balaa, ukigusa bei ya shockup tu ni msiba 😂 ukienda ilala maustaz wanakugombania kama mfungwa mpya akiingia jela.
 
Aaah Bongo raha sana ukiwa na Toyota aisee. Subaru tu watu wanachemshaga sasa ndo uwe na hizo habari za Volvo,Audi,Vw yaaani we ni mgodi
 
Watu si wanatafutaga umaarufu. Hakuna umaarufu kwenye kuingia gharama za juu za uendeshaji ilihali kipato kidogo. Wacha tuishi na Toyoda tu, ukiwa na kigari jamii ya corrolla ndio dah! Wewe ukiwa na laki 2.5 tu kila ifikapo muda wa service gari inakuwa mpyaaa😂😂😂
 
Ndo ubishi wenyewe nauongelea. Wewe unajua magari

Halafu mie ni mpenz wa Magari
Nna Land Cruiser mkonge kongwe balaa
Na nna Land Rover 110
Na Nissan Pathfinder najua utamu na kitonga ya Toyota aisee. Ndo maana nilipoona hiyo Defender 2020 nimemnyooshea mikono jamaa aliyeivuta fasta
Jamii forum kila mtu anamiliki hayo magari
 
1738515806375.png
 
Back
Top Bottom