MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 223
- 429
R.i.p Ndikumana , sote ni wake na kwake wote tutarejea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mke hapo, kuna beseni la kukusanya shahawa. Mke sio mchezo mchezo, famasihara!Kumbuka Irene Uwoya na Ndikumana walifunga ndoa ya kanisani kabisa, na wakristo huwa hawaachani kirahisi rahisi japo Irene alimpiga chini Ndikumana ...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa alikuwa fundi wa mpira hakuna mfano. Simba SC walipoteza mchezaji mahiri sana tena sana. Dada Wamemkazia, hakika atajutia kupost kumkumbuka jamaa. Maana ameamsha hasira za mashabiki.
Kuoa mwanamke kicheche (kyupi mkononi) ni sawa na kujifanya baunsa kwenye njaaMwamba alijichanganya kidogo.
Irene sio mdogo ujue na amezaliwa 1976 hakuwahi kushiriki na wema umiss tanzania umekoseaIkumbukwe Ndikumana alizama penzini kwa Irene Uwoya kipindi hicho Irene Uwoya mapepe kwelikweli ,kipindi kifupi Irene anatoka kushirikk mashindano ya umiss Tanzania...
Usichana ulikuwa unamsumbua Irene,yani ilifikia kipindi mpaka ndugu zake walianza kumtenga kisa dogo janja.Mwamba alijichanganya kidogo.
Wala nimtu nakujiona anamadanga,wengiKuoa mwanamke kicheche (kyupi mkononi) ni sawa na kujifanya baunsa kwenye njaa
Hakika!Stress za umalaya wa Irene! Kama Zari na Ivan!
Upo sahihi kabisa.Stress za umalaya wa Irene! Kama Zari na Ivan!
Huyo hakuwa msichana kipindi hicho nikizee hichoUsichana ulikuwa unamsumbua Irene,yani ilifikia kipindi mpaka ndugu zake walianza kumtenga kisa dogo janja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakika!
Mke gani anatembea na chuppi kwenye mkoba badala ya kuivaa!? Anaona akiivaa kama itamchelewesha maake neno moja tu keshapanua mapaja
Lakini Luna maeneo kwao kuwa wajane ni kama sifa vile. Unamkuta mdada around 40 ana mjengo, ndinga kali na duka lakini mjane. Siyo mmoja wala wawili, ni wengi yaani ni kama kuna trend ya wanawake wa maeneo hayo kufiwa.Msiba wa kujitakia hauna pole, sio Irene wala Ndiku wote wamejitakia yaliyowakuta.
Kiukweli inasikitisha sana kuona mkeo/ mumeb/ mpenzi wako anakigawa kama pipi!Hakika!
Mke gani anatembea na chuppi kwenye mkoba badala ya kuivaa!? Anaona akiivaa kama itamchelewesha maake neno moja tu keshapanua mapaja
Duh! Kali kama pilipili hii sasaMuwe mnaangalia na wanawake wa kuoa, unaenda kujipachika kwenye beseni la kumwagia shahawa kama hilo halafu utegemee nini zaidi ya kufa kwa stress!!
Kinyaa haswaaaa. Fikiria umri wa lrene ule kweli wa kufunga ndoa na janjaro!!.
Inasikitisha sana kiukweli!
Hapo alikua anasevu muda yani muda wowote yupo tayari mwanaume asihangaike mxxxieeeeeeeeww! Uchafu mtupu yani
Ni laana hio!Kinyaa haswaaaa. Fikiria umri wa lrene ule kweli wa kufunga ndoa na janjaro!!
Sio kweli, kama ndivyo ni nini kilimfanya akamwacha dogo na stress za kufa mtu!?Ni laana hio!
Si alisema eti alivurugwa na [emoji533] ya dogo kwamba dogo ana mbongesa wa tango!!
Uhuni haujawahi muacha mtu salama ni suala la muda tu!
Dogo alimnunulia soda,eti akanywa,hakumbuki ilikuwaje. Eti badae alijikuta uchi kitandani mwa dogo,eti mwili ukawa kabisa umekosa nguvu,eti akajisikia kama tumboni kuna kitu,na wakati anatoka kwao alikuwa yuko sawa,af eti akaona hana la kuwambia wazazi,na alikuwa bado bikra,akaona tu bora aendelee nae.Sio kweli, kama ndivyo ni nini kilimfanya akamwacha dogo na stress za kufa mtu!?
Maake kukosa Mauki Janjaro alikuwa anarest in peace.
Au labda alipata mb**lo kubwa zaidi ya janjaro?. BTW alijuaje dogo ana hogo kubwa?
Ni starehe yake hata hivyo
Duuuh! nimepiga mahesabu hapa 76 hadi 2023 ni miaka 47,aisee,halafu dogo janja sijui ni wa mwaka gani?Irene sio mdogo ujue na amezaliwa 1976 hakuwahi kushiriki na wema umiss tanzania umekosea