Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

Duuuh! nimepiga mahesabu hapa 76 hadi 2023 ni miaka 47,aisee,halafu dogo janja sijui ni wa mwaka gani?
Duuuh! hakika nimeishi kwenye kizazi kilichoni-pruvia kua kuona nyéti za mtu mkubwa,hupofuki.
Yes, alikuwa na miaka 25 kipindi hiyo kampita 22 sasa ma sister du hawa zeeki
 
Sio kweli, kama ndivyo ni nini kilimfanya akamwacha dogo na stress za kufa mtu!?

Maake kukosa Mauki Janjaro alikuwa anarest in peace.

Au labda alipata mb**lo kubwa zaidi ya janjaro?. BTW alijuaje dogo ana hogo kubwa?

Ni starehe yake hata hivyo
Tamaa za muda mchache zilimdatisha.

Irene anapenda maisha ya gharama halafu kijana hawezi kwenda naye sawa.

Kingine ndugu wote walimtenga ndio maana kwenye harusi hawakwenda kabisa .
 
Duuuh! nimepiga mahesabu hapa 76 hadi 2023 ni miaka 47,aisee,halafu dogo janja sijui ni wa mwaka gani?
Duuuh! hakika nimeishi kwenye kizazi kilichoni-pruvia kua kuona nyéti za mtu mkubwa,hupofuki.
Usimsikilize huyo.

Irene amezaliwa mwaka 1988 na ameanza kuwa maarufu baada ya mashindano ya miss TZ 2006na kufanikiwa kushika namba 5.

Miaka ya nyuma miss TZ ilikuwa ina mvuto sana na inafuatiliwa na wengi tofauti na siku hizi
.
Kwenye wakati huo 2006 wote walipata umaarufu na wote top 5 wakajiingiza kwenye sanaa ,kuanzia Wema ,Jokate,Lisa,Aunty na yeye Irene.
 
Duuuh! nimepiga mahesabu hapa 76 hadi 2023 ni miaka 47,aisee,halafu dogo janja sijui ni wa mwaka gani?
Duuuh! hakika nimeishi kwenye kizazi kilichoni-pruvia kua kuona nyéti za mtu mkubwa,hupofuki.
Siku hizi kuna wakubwa basi! Ni wale watu wazima ovyo
 
Duuuh! nimepiga mahesabu hapa 76 hadi 2023 ni miaka 47,aisee,halafu dogo janja sijui ni wa mwaka gani?
Duuuh! hakika nimeishi kwenye kizazi kilichoni-pruvia kua kuona nyéti za mtu mkubwa,hupofuki.
Katika masuala ya details unaamua umsikilize maua? We nawe unakuja kuwa kilaza. Kwahiyo kwa akili yako ukakubali kwamba Uwoya ana miaka 47?
 
23594302_2128275387407555_7650909841782734848_n (1).jpg
 
Katika masuala ya details unaamua umsikilize maua? We nawe unakuja kuwa kilaza. Kwahiyo kwa akili yako ukakubali kwamba Uwoya ana miaka 47?
Probably yes,inamaana Uyowa na Bongo movies wengine,umri wao unagandaga...?
 
Probably yes,inamaana Uyowa na Bongo movies wengine,umri wao unagandaga...?
Umesema "probably". Na aliyedai ana miaka 47 hajaweka supporting evidence at least ya classmates na agemates wa Uwoya kuanzia zamani. Kwenye contest yao walikuwa wanaelekeana umri, how comes wengine ni under 40, yeye ni 47?
 
Kumbuka Irene Uwoya na Ndikumana walifunga ndoa ya kanisani kabisa, na wakristo huwa hawaachani kirahisi rahisi japo Irene alimpiga chini Ndikumana .

Stress zilimjaa Ndikumana alipoanza kupata habari nani amemnyang'anya mke wake kipenzi ,stress zilimzidi mpaka kufariki baada ya mke wake kuchukuliwa jumla (kuolewa) na dogo janja.

Aliumia zaidi kuona aliyemnyang'anya mke ni mtoto mdogo mno.
Uwoya kaolewa na dogo janja si juzi juzi tu hapa.
 
Back
Top Bottom