Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaaMalizia tu,kwenye kuifinyia kwa ndani.
Kuanza kujenga nyumbani kabla ya kwako hasa kwa sisi wenye vipato vya kati ni kosa la kiufundi ambalo linaweza kukugharimu mno.Nyumba ya mama yake ya kijijini kwao Muheza ndio chanzo cha Madongo , wadai ni duni kuliko bata alizokuwa anakula DSM .
Hii ni baada ya wasanii wengi kuhudhuria mazishi ya mama yake aliyefariki hivi karibu jijini DSM , wanadai mbona nyumba yake ya Dar ina viwango vya kuridhisha kuliko kwao , ambako kunaonekana kulitelekezwa ?
Natoa wito kwa WASANII WA KIBONGO kukumbuka makwao wanapofanikiwa kimaisha , wasisubiri Aibu .
View attachment 2053960
Amezikwa pale kwa sababu ndio alikozaliwa. Narudia point yangu, kujenga nyumba kisa watakuja kuzika siku mbili na kuondoka ni matumizi yasiyo ya lazima. After that hiyo nyumba haitakuwa na matumizi tena kwako. Watu hawajengi jengi tuKwanini alikwenda kumzika huko? facts of our case are not in consonant with the actions after death! UKIJUA UTAMZKA HUKO UJOMBANI, BASI patengeneze angalau kwa nyumba ya tope iliyopigwa lipu, au usimzike huko after all wamemtelekeza, sasa why kumzika huko....
Hizi familia za Kiafrika zina mambo yamepinda sana. Tena hapo tunaisema Tanga ambayo kuna wazee waligoma barabara isijengwe kwanza wapewe hela ya kutambika. Watu wanashusha lawama bureSeems your are a matured person
Kwanini alikwenda kumzika huko? facts of our case are not in consonant with the actions after death! UKIJUA UTAMZKA HUKO UJOMBANI, BASI patengeneze angalau kwa nyumba ya tope iliyopigwa lipu, au usimzike huko after all wamemtelekeza, sasa why kumzika huko....
Hakua na mamlaka ya kuamua azikwe wapi. Angekua na mamlaka asingeenda huko ujombani labda. Mwili wa mbondei hauzikwi ugenini kirahisi eti ndio mila zao.
Lulu kamuuguza mama yake akamfia,amewapelekea maiti yao wakaiangalie na kuzika. Aachwe huyo binti. Huwezi ukajenga nyumba ujombani wakati ukitaraji kufurahisha watakaoenda misibani.
Mbona sijaona anayelalamika kwanini hakumhudumia mama yake?
Sema kumuuguza mama muhim zaidiSema kujenga nyumbani muhim
Bila shaka wewe utakua mtu wa visiwa vya Zanzibar hasa Pba.Kupanda mchongoma kushuka ndiyo Ngoma
Kuanza kujenga nyumbani kabla ya kwako hasa kwa sisi wenye vipato vya kati ni kosa la kiufundi ambalo linaweza kukugharimu mno.
NdioSema kumuuguza mama muhim zaidi
Bila shaka watakuwa bavicha.Nyumba ya mama yake ya kijijini kwao Muheza ndio chanzo cha Madongo , wadai ni duni kuliko bata alizokuwa anakula DSM .
Hii ni baada ya wasanii wengi kuhudhuria mazishi ya mama yake aliyefariki hivi karibu jijini DSM , wanadai mbona nyumba yake ya Dar ina viwango vya kuridhisha kuliko kwao , ambako kunaonekana kulitelekezwa ?
Natoa wito kwa WASANII WA KIBONGO kukumbuka makwao wanapofanikiwa kimaisha , wasisubiri Aibu .
View attachment 2053960
Astaghfirullah mola niepushie mbali kufananishwa na wale wanaume wanaobanduliwaBila shaka wewe utakua mtu wa visiwa vya Zanzibar hasa Pba.