Wabongo wengi wana shobo sana

Wabongo wengi wana shobo sana

Ila hata hvyo wazungu wanajitahid sana,ujue watu weusi tupo wachache sana hapa duniani

Kuna wazungu wanazaliwa mpaka wanafikia umri wa miaka 15 hawajawah kuwa karibu na mtu mweusi,sasa mzungu kama huyu siku akiwa karibu na mtu mweusi lazima akukwepe
 
Achana na huko mkuu we njoo hata huku bariadi ndani ndani na gari lako upotee njia usimamishe gari njiani utafute mtu wa kukuelekeza uone watu wa huku wanavyofyatuka mbio,,,

huo nao ni ubaguzi tosha
Gamboshi au itilima vijijini huko [emoji1787]
 
Daaa aseee, mkuu waafrika/tz wana shobo sana hata kwa mtu ambaye hausiki na maisha yao, wewe angalia humu JF, yaani shobo mpaka ndani kwa mtu wakati hakufaham hata theruthi!.
Uswahili mwingi sana
 
Back
Top Bottom