Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
We mwenyewe una shobokea lugha za watu
Eti "bOsSes sALuTe"
Eti "bOsSes sALuTe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIV Karne ya Leo bado unawaza mizimu kweli??Tumepewa laana baada ya kukataa mila na imani zetu kufuata dini na mila za watu wa nje. Mizimu yetu imekasirika na kutulaani.
Laana yenyewe ndiyo hii. Kwa akili yako unafikiri mizimu ni nini?HIV Karne ya Leo bado unawaza mizimu kweli??
Gamboshi au itilima vijijini huko [emoji1787]Achana na huko mkuu we njoo hata huku bariadi ndani ndani na gari lako upotee njia usimamishe gari njiani utafute mtu wa kukuelekeza uone watu wa huku wanavyofyatuka mbio,,,
huo nao ni ubaguzi tosha
Uswahili mwingi sanaDaaa aseee, mkuu waafrika/tz wana shobo sana hata kwa mtu ambaye hausiki na maisha yao, wewe angalia humu JF, yaani shobo mpaka ndani kwa mtu wakati hakufaham hata theruthi!.