Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Wewe ndiyo hujui kinachoendelea😄Dogo huku sio fesibuku...uzuzu wako ridisha huko kwa wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo hujui kinachoendelea😄Dogo huku sio fesibuku...uzuzu wako ridisha huko kwa wenzio
Sio lazima utetee ujinga.Wabunge hao 19 wakiendelea kuwepo bungeni; wewe wanakunyonya kitu gani kulinganisha na kazi wanayoifanya? Kwani wakiondolewa wakawekwa wengine hawatalipwa?[emoji2960]
Halafu kuhusu kila kitu kutegemea Mungu atafanya ukweli ni kuwa kila jambo liko controlled na Mungu iwe ktk nchi iliyoendelea au lah
Usipende kutaja jina la Mungu bure
Achana na huyo Mjinga Fulani hiviSio lazima utetee ujinga.
Jiwe ndio alianzisha huu uchafuNdugu zangu watanzania, Salaam
Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM!
Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...!
Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi paulsylvester inalipwa kwa mtu ambaye hayupo kwenye sisitimu yoyote ile, ni sawa na ule wimbo uliovuma kipindi cha msiompenda kwa idadi yenu chache na kupendwa na idadi ya mamilioni ya Watanzania kwa maama ya JPM na wimbo wa wafanya kazi hewa!
Mpaka sasa, kina mdee ni wafanya kazi hewa, kwa kuwa hawatambuliwi kokote kule.
Aidha wanasheria mtupe mwongozo kwamba, kwa nini hao wabunge 19 hewa wako bumgeni?
Vinginevyo, Tunataka katiba kwa nguvu na manjonjo meengi, wakati hatuwezi kuitetea na kuilinda iliyopo na imewatolea nje hao wabunge hewa,
Tukiipata tunayoitaka, ni Nani ataitetea yanapotokea mambo kama haya!!
Kwa nini tusiite nchi yetu ni ya Kilokole inayotarajia kila kitu Mungu atafanya!??
Au kuna mwenye ziada ya haya??
Hukumu ilishatoka tangu juzi na Bunge liliwakilishwa Mahakamani na "Solicitor General" Wakili Mkuu wa Serikali. Ilitakiwa Wakili Mkuu aitaarifu Ofisi ya Speaker juu ya uamuzi wa Mahakama. Wabunge wote 19 walikoma kuwa wabunge tangu juzi Hukumu ilipotolewa. Shida ipo kwa upande wa Speaker wetu!!Kiuharisia Speaker hawezi kuwafukuza Bungeni hao covid19 kisa tu kasikia fununu kwamba wameshindwa mahakamani. Bali CDM wanalo jukumu la kuchukua mahakamani copy of judgment kisha wakaipeleka kwa speaker officially ndiyo speaker anaweza kufanya uamuzi stahiki. Elewa hilo mkuu acha lawama kwa jambo ambalo halihitaji lawama.
Kicheche kakalia usukaniNi kwa Mara ya kwanza bunge linaandika historia mpya ambayo haijawahi kuwepo tangu miaka ya 60 huko kwamba,
Bunge liwe na wafanya kazi hewa!
Ni ajabu sana
Ndugu zangu watanzania, Salaam
Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM!
Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...!
Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi paulsylvester inalipwa kwa mtu ambaye hayupo kwenye sisitimu yoyote ile, ni sawa na ule wimbo uliovuma kipindi cha msiompenda kwa idadi yenu chache na kupendwa na idadi ya mamilioni ya Watanzania kwa maama ya JPM na wimbo wa wafanya kazi hewa!
Mpaka sasa, kina mdee ni wafanya kazi hewa, kwa kuwa hawatambuliwi kokote kule.
Aidha wanasheria mtupe mwongozo kwamba, kwa nini hao wabunge 19 hewa wako bumgeni?
Vinginevyo, Tunataka katiba kwa nguvu na manjonjo meengi, wakati hatuwezi kuitetea na kuilinda iliyopo na imewatolea nje hao wabunge hewa,
Tukiipata tunayoitaka, ni Nani ataitetea yanapotokea mambo kama haya!!
Kwa nini tusiite nchi yetu ni ya Kilokole inayotarajia kila kitu Mungu atafanya!??
Au kuna mwenye ziada ya haya??
Daah! ila CCM aliewaroga alisha kufa. Hii sio akili ya mtu mzima.Chadema muulize mbowe alishapewa chake hapo
USSR
ACT wanatumika na CCMBadala upinzani uungane na kushirikiana kutoa hii SISIEM madarakani , huu ni wakati wa kujenga chama na kuunda mikakati ya kuchukua Dola.
ila nasikitika kuona ndo wako buzy kubomoana.
HII NCHII HAKUNA UPINZANI WENYE TIJA NA AKILI WALIOPO NI WAJINGA TU
Ndugu zangu watanzania, Salaam
Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM!
Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...!
Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi paulsylvester inalipwa kwa mtu ambaye hayupo kwenye sisitimu yoyote ile, ni sawa na ule wimbo uliovuma kipindi cha msiompenda kwa idadi yenu chache na kupendwa na idadi ya mamilioni ya Watanzania kwa maama ya JPM na wimbo wa wafanya kazi hewa!
Mpaka sasa, kina mdee ni wafanya kazi hewa, kwa kuwa hawatambuliwi kokote kule.
Aidha wanasheria mtupe mwongozo kwamba, kwa nini hao wabunge 19 hewa wako bumgeni?
Vinginevyo, Tunataka katiba kwa nguvu na manjonjo meengi, wakati hatuwezi kuitetea na kuilinda iliyopo na imewatolea nje hao wabunge hewa,
Tukiipata tunayoitaka, ni Nani ataitetea yanapotokea mambo kama haya!!
Kwa nini tusiite nchi yetu ni ya Kilokole inayotarajia kila kitu Mungu atafanya!??
Au kuna mwenye ziada ya haya??
Hii ndiyo comment ya maana. Wanaohangaika na Tulia hawaijui nchi hii. Wasting their time. Hata hawajui kwamba Tulia kapewa uspika na Rais kwa uzoefu wake wa kuzoa majitaka kwa mikono bila aibu wala kinyaa.Wabongo bhana, siku zote mnapeleka lawama kusiko, Spika anafwata anavyotaka Raisi na Mkuu wa CCM hata yeye mwenyewe Tulia kabla hajawa Spika Ndugai alivyotimuliwa alisema Serikali iko JUU ya Bunge hivyo hakuna cha mambo ya Muhimili.
Hivyo Serikali ndiyo inayotaka hao Wabunge waendelee na pelekeni malalamiko yenu moja kwa moja kwa Serikali na siyo Spika.
Serikali ndio huamua nani afungwe yupi aachiwe, yupi ana kesi ya kujibu yupi hana na siyo Jaji wa Mahakama yoyote ile.
Hata Mbowe aliachiwa na Raisi na siyo Mahakama au jaji, akina Ruge na Muhindi wake waliachiwa na Raisi na siyo Mahakama, …