Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

Sio lazima utetee ujinga.
 
Jiwe ndio alianzisha huu uchafu
 
Hukumu ilishatoka tangu juzi na Bunge liliwakilishwa Mahakamani na "Solicitor General" Wakili Mkuu wa Serikali. Ilitakiwa Wakili Mkuu aitaarifu Ofisi ya Speaker juu ya uamuzi wa Mahakama. Wabunge wote 19 walikoma kuwa wabunge tangu juzi Hukumu ilipotolewa. Shida ipo kwa upande wa Speaker wetu!!
 

Huwa nashangaa sana, watu wanapoomgelea katiba mpya!!!

Ilihali iliyopo inavunjwa na kusigidwa.

Nawashangaga na wakina mama na vikundi vyetu tunahangaika tuansae katiba, wakati watu wenyewe hawafanyi tunayokubaliana, nawazaga hivi katiba ndiyo itamlima mtu? Au watu tunatakiwa kukontrol yale tuliyokubaliana
 
Tulia lazima ateme bungo ili atulie lasivyo litamtesa sn kwenye nafasi yake aliyonayo
 
ACT wanatumika na CCM
 

Naomba nianze kukujibu ww kwamba,Ili swali lako umeuliza kisheria au na ww ni mmoja kati ya wale wanasubilia watimuliwe kwa hamu ili jina lako lipelekwe kama wa viti maalum?
 
Hii ndiyo comment ya maana. Wanaohangaika na Tulia hawaijui nchi hii. Wasting their time. Hata hawajui kwamba Tulia kapewa uspika na Rais kwa uzoefu wake wa kuzoa majitaka kwa mikono bila aibu wala kinyaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…