Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA maarufu kama COVID 19 kutoa tamko la kumuunga mkono Mh. Freeman Mbowe siku ya Jumatatu

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
 
The hapo ndio itadhubitika zile zilikuwa baraka za mbowe, na mbowe na serikal ji dam dam. Zile kelele zake ni zuga tu
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
CHADEMA Ina Mbunge mmoja tu anaitwa Aida Kenani, sijui wewe mwenzetu unaishi nchi Gani? Mpaka hujui mambo ya CHADEMA, huku unajidai unajua mambo ya CHADEMA.

Umeandika utadhani umetoka Mbinguni vile au unaishi nje ya nchi na haujishughulishi kujua mambo ya nchini mwako!!!!

Siku nyingine ukiwa unataka kuandika kitu jaribu kushirikisha UBONGO WAKO kwanza, au jaribu kuwauliza watu wanaojua vitu kabla ya kuja kujionesha kuwa wewe ni JUHA na Bongolala mkubwa hapa jukwaani.🤔🤔🤔🤔🤔
 
CHADEMA Ina Mbunge mmoja tu anaitwa Aida Kenani, sijui wewe mwenzetu unaishi nchi Gani? Mpaka hujui mambo ya CHADEMA, huku unajidai unajua mambo ya CHADEMA.

Umeandika utazani umetoka Mbinguni vile au unaishi nje ya nchi na haujishughulishi kujua mambo bya nchini mwako!!!!
Usijitoe akili, subiri Jumatatu.
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Yani aungwe mkono na wapumbavu ambao sio wajumbe wa kupiga kura, only fools and imbecile can stick their mind on that.
 
Wale hawana tofauti na wewe maana si wanachama wa CHADEMA so hata wakimuunga mkono there will be no any effect.
 
Yani aungwe mkono na wapumbavu ambao sio wajumbe wa kupiga kura, only fools and imbecile can stick their mind on that.
Kwani kuungwamkono ni dhambi? Timu Lissu mna madudu gani?
 
Usijitoe akili, subiri Jumatatu.
Wewe ndo Mpumbavu unajifanya hujui kuwa CHADEMA Ina Mbunge nmmoja tu, hao wakija wanapoteza muda, hao ni wasaliti, walifukuzwa, na mahamakamani wakashindwa ,wapo bungeni ni wabunge wa serikali.

Huna jipya kaa kimyaa
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Wanatafuta huruma , wangekiwa na akili wangejiuzuru na kuja kuomba radhi warudi kundini, sasa ndo wanaharibu,wanauemuunga mkono hashindi
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Kama kawaida drama zao na mbowe zinaendelea
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Washajua kama anagombea?
 
Mzee alikaa akawaza sana akaja na wazo la vyama pinzani ila kwa sharti moja tu vyama hivyo pinzani viziwe vyenye upinzani wa kweli bali viwe na unasaba na chama dola ili kusudi misaada iweze kupatikana kutoka nje, mzee alifanikiwa kwa muda tu ila muda ukaamua wapinzani wa kweli wakaanza kujitokeza sasa hapo ndipo balaa lilipo tumbo lazima liwake moto
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
IMG-20241023-WA0021.jpg

Hawa mbona tulishawasahau na still CHADEMA inazidi kuwa imara
 
Fedha za Abdul bado zinazungushwa na Wenje. Kwann kila mtu mwenye unasaba na ccm anamuunga mkono Mbowe?

Bila shaka Mbowe ni duka kubwa lililotumiwa na ccm kununulia wapinzani.

Na hii itathibitisha pasipo shaka kuwa covid 19 walipelekwa na Mbowe bungeni.
 
Back
Top Bottom