Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA maarufu kama COVID 19 kutoa tamko la kumuunga mkono Mh. Freeman Mbowe siku ya Jumatatu

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA maarufu kama COVID 19 kutoa tamko la kumuunga mkono Mh. Freeman Mbowe siku ya Jumatatu

Fedha za Abdul bado zinazungushwa na Wenje. Kwann kila mtu mwenye unasaba na ccm anamuunga mkono Mbowe?

Bila shaka Mbowe ni duka kubwa lililotumiwa na ccm kununulia wapinzani.

Na hii itathibitisha pasipo shaka kuwa covid 19 walipelekwa na Mbowe bungeni.
Toeni kila aina ya Mlio ila CHADEMA ni Mbowe.
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
1. Inadhirisha wana baraka za Mbowe kuwa wabunge
2. Watamchafua zaidi
3. Na mimi nasema Mbowe ametuchezea sana
 
Hata Kama ingekuwa kweli, COVID 19 kumuunga mkono Mbowe ndio utakuwa mwisho wake. Maana wale walishafutiwa uanachama na BARAZA Kuu
 
Wanatoa tamko kama nani ndani ya chama, hivi ni sahihi CCM kutoa tamko kuhusu uchaguzi wa ndani wa chama kingine?
 
Hata mimi nashangazwa na ukimya wa hawa wabunge wa viti maalum kupitia CHADEMA
 
1. Inadhirisha wana baraka za Mbowe kuwa wabunge
2. Watamchafua zaidi
3. Na mimi nasema Mbowe ametuchezea sana
Wewe mfuasi wa Lissu usiye na sifa za kumpigia kura andika maumivu tu. CHADEMA inamhitaji Mbowe.
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Tulikuwa tunasubili kwa hamu ni nani ambae alilazimisha hawa watu waende kufuja pesa za walipa kodi sasa mmeanza kujitokeza
 
Wewe ndo Mpumbavu unajifanya hujui kuwa CHADEMA Ina Mbunge nmmoja tu, hao wakija wanapoteza muda, hao ni wasaliti, walifukuzwa, na mahamakamani wakashindwa ,wapo bungeni ni wabunge wa serikali.

Huna jipya kaa kimyaa
Acha upumbavu, ruzuku anazokula Mbowe na genge lake zinatoka kwa Aida Kennan?
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Acheni kumchafua Wenje, hata kama alimuunganisha kwani alivunja katiba?

Mbowe, mwenyekiti, Wenje Makamu mwenyekiti, Halima Mdee Katibu mkuu.
 
Wachache sana wameshtukia hili. Mbowe ni CCM's Favourite person kuliko Lissu.
Mfumo hauwezi kukubali Lissu akapita.

Mbowe yupo njia panda!

Achague kulinda heshima yake au maslahi yake ikiwa kama system imempa mpango kazi wao!

Au achague ampishe Lissu ambaye system haimtaki ila wananchi wanamtaka!
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Kwan wale COVID 19 ni wanachama wa Chadema?? Si mahakama ilibarik kufukuzwa kwao??
 
Acha upumbavu, ruzuku anazokula Mbowe na genge lake zinatoka kwa Aida Kennan?
Nyumbu hovyo kabisa.
Acha mihemko, Wacha nikupe elimu kuhusu ruzuku,

Ruzuku inatokana na uwiano wa kura za uchaguzi mkuu, asilimia ambazo chama husika kimepata ndiyo kinaamua kiasi Cha ruzuku ya chama iwe kiasi gani.

Ruzuku haitokani na wabunge idadi yao, isipokuwa idadi ya wabunge wa kuteuliwa wanawake viti maalumu, inatokana inaamuliwa na uwiaono wa kura za Uchaguzi Mkuu ambao chama Cha siasa kimepata.

CCM Ina wabunge wengi wa viti maalumu kwa sababu walipata kura nyingi uchaguzi mkuu ulopita.

Chama kiwe na mbunge kisiwe na mbunge kitapata ruzuku ikiwa kilipata kura za kutosha kufikia ASILIMIA 5% asilimia katika uchaguzi uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani, inatolewab kila mwezi kupitia msajiri wa vyama vya Siasa, ni pesa Toka serikalini kiwezesha shughuli za vyama vya Siasa.

Jifunze kwanza kuelewa mambo kabla ya kuandika VITU AMBAVYO HIVIJUI.

Mwisho mwishoni ugomvi na mume wako, na mimba yako changa usilete hapa jamvini sawa wewe MWANAMKE??🤔🤔

Pia punguza umalaya hapa mtaani, unatembea na watoto wadogo, mpaka bodaboda,siku sio nyingi watu wamepanga kumjulisha MUME WAKO 🤣🤣
 
Back
Top Bottom