Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA maarufu kama COVID 19 kutoa tamko la kumuunga mkono Mh. Freeman Mbowe siku ya Jumatatu

kuna wenye mawazo kinzani na wasaliti , usaliti sio ukinzani
Waafrika tuna ujinga mwingi sana na roho za visasi. Kwa mfano, ukiangalia ule uchaguzi wa awali, Donald Trump alipingwa hadi na magwiji wa chama cha Republican, ila baada ya kushinda wala hakuwahi sio tukutowagusa, bali hata kuwataja.
 
Mjomba Mbowe, asante kwa kukomboa kikoba chetu, maadui zetu wameanza kujidhihirisha wazi.
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Hakuna atakayeshangaa, ndo anayewalinda kule bungeni, mbowe ana ndimi mbili
 
Ni dhahiri wako upande wa mbowe hata wasipotoa tamko kumuunga mkono wapuuzi hao wasaliti. Kwa kuwa mbowe naye ni msaliti mwenzao wacha wamuunge mkono bosi wao
 
Acheni wivu na kikoba chetu.
 
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.

Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Bado
 
Back
Top Bottom