The hapo ndio itadhubitika zile zilikuwa baraka za mbowe, na mbowe na serikal ji dam dam. Zile kelele zake ni zuga tuMambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
CHADEMA Ina Mbunge mmoja tu anaitwa Aida Kenani, sijui wewe mwenzetu unaishi nchi Gani? Mpaka hujui mambo ya CHADEMA, huku unajidai unajua mambo ya CHADEMA.Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Usijitoe akili, subiri Jumatatu.CHADEMA Ina Mbunge mmoja tu anaitwa Aida Kenani, sijui wewe mwenzetu unaishi nchi Gani? Mpaka hujui mambo ya CHADEMA, huku unajidai unajua mambo ya CHADEMA.
Umeandika utazani umetoka Mbinguni vile au unaishi nje ya nchi na haujishughulishi kujua mambo bya nchini mwako!!!!
Yani aungwe mkono na wapumbavu ambao sio wajumbe wa kupiga kura, only fools and imbecile can stick their mind on that.Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Wale hawana tofauti na wewe maana si wanachama wa CHADEMA so hata wakimuunga mkono there will be no any effect.Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Wewe ndo Mpumbavu unajifanya hujui kuwa CHADEMA Ina Mbunge nmmoja tu, hao wakija wanapoteza muda, hao ni wasaliti, walifukuzwa, na mahamakamani wakashindwa ,wapo bungeni ni wabunge wa serikali.Usijitoe akili, subiri Jumatatu.
Wanatafuta huruma , wangekiwa na akili wangejiuzuru na kuja kuomba radhi warudi kundini, sasa ndo wanaharibu,wanauemuunga mkono hashindiMambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Kama kawaida drama zao na mbowe zinaendeleaMambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Washajua kama anagombea?Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao.
Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea kukiunganisha chama.
Mbowe atashinda kwa kishindoView attachment 3181171
Hawa mbona tulishawasahau na still CHADEMA inazidi kuwa imara