johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani bunge linataka kujitakasa!Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Ila kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....Warudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Watarudi Sophia Mwakagenda na Mrs Kafulila!Warudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Hivi kwa nini unapenda kufuatilia habari zetu?Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Kwani na weye ni mmoja amongst Covid 19?Holy merckerel!Hivi kwa nini unapenda kufuatilia habari zetu?
Basha wako hajui kukupiga vizuriKwani na weye ni mmoja amongst Covid 19?Holy merckerel!
Nashauri kwa watakaosamehewa condition iwe hakuna tena ubunge na watakuwa kwenye uangalizi kwa miaka mitatu, ambapo hawataruhusiwa kugombea nafasi yoyote.Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Nooo wote wasirudi, hizo fedha walizochuma zinawatosha. Chadema waingize wengine wapya kabisa pamoja na kwamba tunajua uchaguzi ulivurugwa sana.Warudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Sophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?Watarudi Sophia Mwakagenda na Mrs Kafulila!
Unadhani wahenga wakuongopa kusema malipo ni hapa hapa duniani ahera ni mahesabu tuu?Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Warudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Huwezi amini mtu kama Halima Mdee ambaye alikuwa mpambanaji for decades anakubali usaliti na kukibagaza chama ambacho ndo source ya umaarufu wake hakika nimeamini don't mess with an empty stomach[emoji52]Warudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Yule anaitwa Mwanjelwa wa CCM!Sophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?