johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Halima Mdee hajasaliti ila CCM ni chama dola.Huwezi amini mtu kama Halima Mdee ambaye alikuwa mpambanaji for decades anakubali usaliti na kukibagaza chama ambacho ndo source ya umaarufu wake hakika nimeamini don't mess with an empty stomach[emoji52]
Hata ungekuwa wewe usingechomoka.