Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Hao inatakiwa wapelekwe mahakamani kwa la kugushi.
 
Kifupi hakuna covid 19 atakayerejeshwa tena bungeni. Huenda baada ya mwezi mmoja kutoka sasa watakuwa mtaani wakidanga. Msimamo wa CHADEMA mpaka sasa upo pale pale kuwa....
1. Hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020.
2. Hawajawahi kufanya mchakato wowote wa kuteua wabunge wa viti maalum.
3. Waliwavua uanachama wale covid 19 kwa kufanya uhuni wa kisiasa na kijinai usioweza kuvumilika hata kwa 1%.

Sasa ili Covid 19 wabakie bungeni inabidi kwanza haya yafanyike
-Watolewe kwanza bungeni.
-CHADEMA warejee upya hayo maamuzi na yawe favour kwa Covid 19.
Mimi nwana CHADEMA nawashauri uongozii wasithubutu kuwaonea huruma hawa 19. Ni kwa sababu ya gharama kubwa ya heshima ya chama.

Kuna kudhalilishwa na dola na chama dola kuliko pitiliza fahamu ya kibinadamu waliyoisababisha bila aibu.

Kuna maisha ya watu yamepotezwa, kuna watu wamebambikiwa kesi hadi kufungwa.

Sana sana wajichunguze na dhamiri zao watoke hadrani watubu kwa Mungu.

Sina nafasi moyoni mwangu kulisanehe hili.
 
Coz wanajua waliongea nn kunduchi beach mpaka wakaamua kuteua Kwa kanda coz viti ni vichache,

Kuna mambo mengi yamejificha hapo

Naamini chama kinafahamu, usishangae 2025 wakaweka na kugombea ubunge
 
Kwa hiyo mkikaa huko ofisini kwenu mnajitungia uongo wenu mnadhani mnatudanganya kama watoto wadogo sio?

Mjipange upya.
Mambo yote ya Ufipa yanaratibiwa Lumumba!

Kama hujui hilo wewe siyo mwanasiasa wa Tanzania.
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Ongeza:
Chalamila
 
Back
Top Bottom