Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Mbona spika wa bunge alishasema kwamba wanasubiri mchakato wa ndani ndio atoe maamuzi?. Kama chadema wangekuwa Wana mkono kwenye Hilo mbona Ndugai angesema au hata Mdee mwenyewe angesema.

Chadema Wana mkono na mdee anamkono mambo yakiwa wazi ni aibu Kwa wale wazee pale ufipa
 
Hakuna mtu karubuniwa pale trust me, tuache kuongea kutoka hewani, wala hakuna mtu kapewa ela,

Ukifatilia hiyo story ya viti maalum hutomweshimu tena mbowe wala lisu

Mbowe na Lissu heshima yao haiwezi kushuka kiss viti maalum, Cha msingi kamati kuu na baraza kuu liwafute wote uanachama, na kuteua wanawake wengine wenye uchunguzi na chama sio hao wasaliti.
 
Huyu jonhthebaptist ni nani? Amejipambanua ni kada wa ccm, mbana anafahamu mambo mengi ya ndani ya chadema??

Hakuna mtu aliomba msamaha hata mmoja na last week walienda gerezani kumsalimia Mwenyekiti, and he was very happy kuwaona hahaha siasa tamu
 
Watakuwa wageni wa nani, labda watavaa nguo za zambarau

Majina mapya kwani katiba mpya tayari? Kwani tume huru tayari? Hahaha mlisema hamtaki viti maalum Kwa sababu ya hayo Mambo

Imekuwaje tena
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Daaah! Kwahiyo mrs tumbili haelewi alifikaje bungeni? Yaani kajikuta tu yupo humo mjengoni
 
Coz wanajua waliongea nn kunduchi beach mpaka wakaamua kuteua Kwa kanda coz viti ni vichache,

Kuna mambo mengi yamejificha hapo

Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.

Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
 
Naona siku hizi umegeuka msemaji wa chadema
 
How hujuma ? Tume wakileta barua ya majina ya viti maalum ambayo chadema walipeleka utabakia na msimamo huo.?

CHADEMA Ina mamlaka ya kubatilisha na kupeleka mengine simple as that. Kwani shida ipo wapi? Halafu hiyo Tume yenyewe alishakiri kutopokea barus kutoka chadema.

Pia usisahau Mnyika alishapewa barua ya kutoyatambua hao covid 19 mkawa mnamcheka, Sasa muda wa vielelezo umefika. Katibu Mkuu wa chama ameshadhibitisha hao sio wa chama chetu Ndugai akabana, leo Ndugai hayupo.
 
Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.

Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.

Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika

So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume

Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema

Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
 
CHADEMA Ina mamlaka ya kubatilisha na kupeleka mengine simple as that. Kwani shida ipo wapi? Halafu hiyo Tume yenyewe alishakiri kutopokea barus kutoka chadema.

Pia usisahau Mnyika alishapewa barua ya kutoyatambua hao covid 19 mkawa mnamcheka, Sasa muda wa vielelezo umefika. Katibu Mkuu wa chama ameshadhibitisha hao sio wa chama chetu Ndugai akabana, leo Ndugai hayupo.

Why hawakubadilisha since last year
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Wakatubu ili wapate msamaha wa dhambi zao
1646556236057.png
 
Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika

So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume

Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema

Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now

Kumbe chadema haina nguvu?. CHADEMA Ina nguvu Sana, wote waliokuwa vizingiti wameondoka wenyewe au kwa lazima. Wewe hujiulizi Ndugai ameondokaje?, Yule Jaji kaijage Mwenyekiti wa Tume naye kaondoka.

Speaker kashatoa kauli ya kwamba anasubiri mchakato wa CHADEMA afanye maamuzi. Barua ingekuwepo asingesema hivyo.
 
Mlikuwa na nguvu Kwa jk now hakuna kitu chochote
 
Hakuna mtu aliomba msamaha hata mmoja na last week walienda gerezani kumsalimia Mwenyekiti, and he was very happy kuwaona hahaha siasa tamu
Usichoelewa ni kwamba aliyewaingiza bungeni ndio kawaambia wajiuzulu kabla Tundu Lisu hajatua nchini.

Hili siyo swala la Chadema.

Chadema wao wanaendelea na taratibu za kupata wabunge halali.
 
Back
Top Bottom