Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Chadema haina cha kuwafanya wale wabunge, maana hadi leo ata maamuzi ya rufani hatujaona
Mngeionaje wakati mlikuwa mnamshangilia Ndugai aliyeapa na kuamua kuwalinda, kama ilivyokuwa kwa Mwambe aliyejivua uanachama. Ndugai alikataa hata kusikiliza ushauri wa Spika mstaafu Mzee Msekwa.
 
Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika

So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume

Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema

Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
Serikali haitaingia aibu kwa sababu ilishamfurusha mwenyekiti wa tume.

Ndio maana Spika Tulia amewataka Chadema wamalizie mchakato ili yeye akamilishe pale ilipoishia serikali!
 
Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.

Nadhani umekosea, ccm ndio wanacheza ngoma ya CHADEMA. Maana baada ya pressure ya kumtoa Mh Mbowe, Serikali ndio imemtoa. Sasa Kuna pressure ya Covid 19 waondoke.

Halafu, Vyama vipo vingi vya upinzani. Sio chadema tuu. Hata chadema kilikuwa chama kidogo in 1995, but vissionary leaders na hard work Leo kimekuwa chama kiku Cha upinzani. Wakati CHADEMA wanapitia madhira kipindi Cha Magufuri mlikuwa mnawacheka na kuwatenga hakuna aliyetaka kujihusisha nao kwa hofu ya kukamatwa.
 
Serikali haitaingia aibu kwa sababu ilishamfurusha mwenyekiti wa tume.

Ndio maana Spika Tulia amewataka Chadema wamalizie mchakato ili yeye akamilishe pale ilipoishia serikali!

Haya ngoja wamalize hao chadema tuone si tuko hapa hapa
 
Usichoelewa ni kwamba aliyewaingiza bungeni ndio kawaambia wajiuzulu kabla Tundu Lisu hajatua nchini.

Hili siyo swala la Chadema.

Chadema wao wanaendelea na taratibu za kupata wabunge halali.

Hahaha haya ngoja tusubiri,
 
Wakati mgumu wakati wanakula milion 14 Kwa mwez, na juzi walikuwa Zanzibar pardm ndefu hahaha

Wajiandae kurudisha pesa zote, maana ikigundulika walifoji majina, watarejesha pesa zote. Maana Kaijage hayupo na Ndugai hayupo. Na itakuwa nafasi ya kumzika Ndugai kisiasa Moja kwa Moja.
 
Chadema Wana mkono na mdee anamkono mambo yakiwa wazi ni aibu Kwa wale wazee pale ufipa

Aibu wabaki nayo wao wenyewe, sisi tunataka waondoke wote bungeni. Kwanza wamekwisha kabisa hawana ushawishi hata walienda CCM labda wabebwe ambavyo sio kawaida.
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Tuwaombee Wagonjwa, Wafungwa, Yatima,Wajane, Watoto wa mitaani,Wakimbizi,nk.Lkn sio hao wachumia tumbo.
 
Huyu jonhthebaptist ni nani? Amejipambanua ni kada wa ccm, mbana anafahamu mambo mengi ya ndani ya chadema??

Huyu Ni mwna CCM anayeipenda CHADEMA. Fuatilia kesi ya mbowe alikuwa mbele kumtetea Mbowe. Pia Ni muumini wa maendeleo hayana chama.
 
Kwa hiyo chadema inataka kuhalalisha matokeo ya uchaguzi au ndo maridhiano?
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Eti kulinda hadhi zao! Kwani walikuwa wana hadhi gani!
 
Wajiandae kurudisha pesa zote, maana ikigundulika walifoji majina, watarejesha pesa zote. Maana Kaijage hayupo na Ndugai hayupo. Na itakuwa nafasi ya kumzina Ndugai Moja kwa Mona.

Na mikopo yote wow

Yan mhimili mkubwa unaweza kuibiwa na wadada 19 aisee hatari sana
 
Why hawakubadilisha since last year

Hawakubadilisha kwa sababu Hawa walikata Rufaa, halafu kizingiti alikuwa spika Ndugai. Alisema hata CHADEMA wakifanya maamuzi bado atayazuia mbele ya bunge. Tena akawapiga vijembe kwamba wanaume wazima mnasumbua wanawake.
 
Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.

Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
Ndugai alikuwa na kiburi cha ajabu sana alikanyaga katiba alidharirisha Bunge, alijiona yeye ndio yeye. Hii dunia sasa hivi sijui yupo wapi. Endapo kutakuwa na ukweli juu ya hila na ghiriba kutumika kuwaingiza bungeni sheria ifuate mkondo wake. Yule Mahera na wote wanatakiwa wachukuliwe hatua. March 17 iliweza kuliponya sana taifa hili. Mungu ni mwema.
 
Hawakubadilisha kwa sababu Hawa walikata Rufaa, halafu kizingiti alikuwa spika Ndugai. Alisema hata CHADEMA wakifanya maamuzi bado atayazuia mbele ya bunge. Tena akawapiga vijembe kwamba wanaume wazima mnasumbua wanawake.

Haya ngoja tuone
 
Tatizo la hili sakata ni taasisi mbili kuhusika

Kwanza Bunge na pili ni tume ya uchaguzi na hapo ndio kuna ugumu

And shida kubwa inakuja kutokea ni pale barua ya kupeleka majina ya viti maalum na majina yaliokwenda bungeni hapo sasa ndio patamu

Hili swala ni gumu Sana na siku mdee akiamua kuongea yaliotokea kwenye kikao Chao mpaka wakataka kupigana kisa Tu alikuwa anakataa majina ya watu ambao waliletwa na viongozi madhan kila mtu atakuwa kimya
Pole sana kwa kuamini porojo za wasaliti na mawakala wao.
Ili kulimaliza na kutatua suala hili muhimu, TUME ya uchaguzi itoe barua na form iliyopokea kutoka CHADEMA na maelezo kuhusu Nusrati aliyekuwa bado yuko 'jela/rumande' mpaka usiku, alitokaje na kuwahi kuapishwa asubuhi.
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Shetani hana rafiki
 
Pole sana kwa kuamini porojo za wasaliti na mawakala wao.
Ili kulimaliza na kutatua suala hili muhimu, TUME ya uchaguzi itoe barua na form iliyopokea kutoka CHADEMA na maelezo kuhusu Nusrati aliyekuwa bado yuko 'jela/rumande' mpaka usiku, alitokaje na kuwahi kuapishwa asubuhi.

Wakati hayo yanafanyika hawa wote si walikuwepo?

Mama Samia alikuwa makamu wa rais, so na yy anajua kila kitu na story yote kuliko hata Sisi

Chadema ni maloser hamna nguvu now ya kudemand anything

Nyie si mlikuwa hamtaki mambo ya kila Mbunge afanye siasa kwenye Jimbo lake? What happen now

Nyie si mlikuwa mnadai katiba mpya mpaka mnafunga barabara?

Ile nguvu imekwisha
 
Back
Top Bottom