Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Mungu hadhihakiwi
  1. Walishika vitabu vitakatifu na kula viapo wakijua kuwa hawakupitia utaratibu stahiki
  2. Walimtegemea zaidi binadamu ambaye hakutenda haki katika kuwafikisha walipo
MUngu anakwenda kusawazisha palipoinuka na palipo na bonde
 
Kiapo bila uwepo wa SIWA ni batili

Ndugai mjanja sana!
 
Tulipokua tunawaambia hiyo ilikua project haramu ya jiwe kupata pesa za wahisani baada ya uchafuzi mkuu wa 2020 mlikua hamuamini
 
Swala la covid 19 ni zaidi ya Chadema na CCM!

Ndio maana watajiuzulu kabla ya kufukuzwa.

Wangekuwa wameshatoka long time, mnaweza kukubaliwa kufanya siasa za ndani na mikutano lakini sio Jambo la wale wabunge

Mlisema magu amekufa then wanatoka, mkasema Samia atawatoa, mkasema ndugai kafa watatoka mtaongea hivyo hivyo mpaka 2025
 
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni
Wabunge chumia tumbo hawafai ni sawa na bendera fuata upepo, CDM bakieni na wale waliokula nanyi wakati wa furaha na kulia nanyi wakati wa majonzi
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Tena wajiandae kurejesha pesa yote waliyolipwa kama mishahara na posho.
 
Ta
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!

Naomba katika watakaoteuliwa asikose Hilda Newton na yule dada wa chato aliyepambana kipindi Cha Magufuri mpaka akakamatwa.
 
Wangekuwa wameshatoka long time, mnaweza kukubaliwa kufanya siasa za ndani na mikutano lakini sio Jambo la wale wabunge

Mlisema magu amekufa then wanatoka, mkasema Samia atawatoa, mkasema ndugai kafa watatoka mtaongea hivyo hivyo mpaka 2025
Ilibidi aondoke kwanza yule aliyewaapisha.

Uwe unatumia hata akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara!
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!

Mimi alinishangaza Mama Conjesta Rwamlaza, huyu mama kapambana na chadema miaka na miaka, ndio wanawake was mwanzoni kabisa kwenye viti maalum Kagera, lakini nashangaa naye akaingia kwenye mkumbo was akina Halima Mdee na Esther Bulaya. Sijui waliahidiwa nini hicho wakasahau harakati kwenye chama.
 
Huyu aliomba msamaha, atsfikiriwa!
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
😀😀😀
 
Wabunge chumia tumbo hawafai ni sawa na bendera fuata upepo, CDM bakieni na wale waliokula nanyi wakati wa furaha na kulia nanyi wakati wa majonzi
Mrs Kafulila ana umuhimu wake.

Ref; mushumbuzi
 
Chama ndicho chenye mamlaka ya kuteua na kutengua viti maalum. Hata Kama hakuna rufani. Refer case ya CUF. Kesho wakikaa kamati kuu na Baraza kuu wakabariki majina mapya basi wote wanaondoka.

Chadema haina cha kuwafanya wale wabunge, maana hadi leo ata maamuzi ya rufani hatujaona
case ya
 
Tatizo la hili sakata ni taasisi mbili kuhusika

Kwanza Bunge na pili ni tume ya uchaguzi na hapo ndio kuna ugumu

And shida kubwa inakuja kutokea ni pale barua ya kupeleka majina ya viti maalum na majina yaliokwenda bungeni hapo sasa ndio patamu

Hili swala ni gumu Sana na siku mdee akiamua kuongea yaliotokea kwenye kikao Chao mpaka wakataka kupigana kisa Tu alikuwa anakataa majina ya watu ambao waliletwa na viongozi madhan kila mtu atakuwa kimya

Mbona spika wa bunge alishasema kwamba wanasubiri mchakato wa ndani ndio atoe maamuzi?. Kama chadema wangekuwa Wana mkono kwenye Hilo mbona Ndugai angesema au hata Mdee mwenyewe angesema.
 
Back
Top Bottom