All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
DuhWarudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhWarudi wote ila sio bwana Halima Mdee na mke wake Ester Bulaya.
Kama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?Kifupi hakuna covid 19 atakayerejeshwa tena bungeni. Huenda baada ya mwezi mmoja kutoka sasa watakuwa mtaani wakidanga. Msimamo wa CHADEMA mpaka sasa upo pale pale kuwa....
1. Hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020.
2. Hawajawahi kufanya mchakato wowote wa kuteua wabunge wa viti maalum.
3. Waliwavua uanachama wale covid 19 kwa kufanya uhuni wa kisiasa na kijinai usioweza kuvumilika hata kwa 1%.
Sasa ili Covid 19 wabakie bungeni inabidi kwanza haya yafanyike
-Watolewe kwanza bungeni.
-CHADEMA warejee upya hayo maamuzi na yawe favour kwa Covid 19.
Kweli inasemekanaKuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Sasa kama hawautbui huo uchaguzi inamaanisha hata huyu Raisi wa SASA hawamtambui piaKifupi hakuna covid 19 atakayerejeshwa tena bungeni. Huenda baada ya mwezi mmoja kutoka sasa watakuwa mtaani wakidanga. Msimamo wa CHADEMA mpaka sasa upo pale pale kuwa....
1. Hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020.
2. Hawajawahi kufanya mchakato wowote wa kuteua wabunge wa viti maalum.
3. Waliwavua uanachama wale covid 19 kwa kufanya uhuni wa kisiasa na kijinai usioweza kuvumilika hata kwa 1%.
Sasa ili Covid 19 wabakie bungeni inabidi kwanza haya yafanyike
-Watolewe kwanza bungeni.
-CHADEMA warejee upya hayo maamuzi na yawe favour kwa Covid 19.
Kumbe Ester ni single! Jamani ebu aliye karibu naye mwambieni anione inbobo 😅Ila kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....
Rais wa Sasa hakutokana na ule uchaguzi/Uchafuzi...Sasa kama hawautbui huo uchaguzi inamaanisha hata huyu Raisi wa SASA hawamtambui pia
Rais aliyeko Ikulu hakutokana na uchaguzi wa 2020 ni baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufa ndipo Samia akakasimiwa madaraka na Katiba..sio uchaguziKama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?
Hahahahaaaaaa mbavu zangu mkuuIla kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....
Hivi hao uliowataja kuishi kwao kwa ugumu kunatokana na nini?Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Hivi kwa nini unapenda kufuatilia habari zetu?
Hivi hao uliowataja kuishi kwao kwa ugumu kunatokana na nini?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nusrat HanjeWatarudi Sophia Mwakagenda na Mrs Kafulila!
Kwahiyo ukirithishwa vya wizi vinakuwa vya halali? Walioharibu uchaguzi ni CCM na rais wa Sasa ni CCM na alikuwepo kwenye huo uchafuzi/uchaguzi wa 2020.Rais aliyeko Ikulu hakutokana na uchaguzi wa 2020 ni baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufa ndipo Samia akakasimiwa madaraka na Katiba..sio uchaguzi
Acha ubwegeWanaccm kufuatiliana kuna shida gani?
Kivipi yani?Mwanadamu waliyemtegemea yuko kuzimu.
Nadhani mwanamke mwenzaoTulia yuko kikazi zaidi, zama zao zimeondoka na Ndugai.Sasa hiv nyeusi itabaki nyeusi.Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Anzisha chama ili muiondoe CCM kaka/Dada.Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.
Mzee Mdee huyo, anajaribu kutunisha misuli yake huku jf.Wameambiwa Wajiuzulu.
Uwe unaelewa bwashee!