Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.
Kuitoa ccm madarakani kwa katiba hii hakuhitaji chama imara cha upinzani, bali kunahitaji kundi la watu kuingia msituni. Fahamu ccm haiko madarakani kwa box la kura, bali nguvu ya vyombo vya dola.