Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Kama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?
 
Kweli inasemekana

Ila Amini Hilo halipoooo kabisa wale watabaki paka 2025
 
Sasa kama hawautbui huo uchaguzi inamaanisha hata huyu Raisi wa SASA hawamtambui pia
 
Sasa kama hawautbui huo uchaguzi inamaanisha hata huyu Raisi wa SASA hawamtambui pia
Rais wa Sasa hakutokana na ule uchaguzi/Uchafuzi...
Elewa hivo ndugu, hata Samia anajua hivyo Katiba imempa Urais baada ya Pombe kufa
 
Kama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?
Rais aliyeko Ikulu hakutokana na uchaguzi wa 2020 ni baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufa ndipo Samia akakasimiwa madaraka na Katiba..sio uchaguzi
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Hivi hao uliowataja kuishi kwao kwa ugumu kunatokana na nini?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Rais aliyeko Ikulu hakutokana na uchaguzi wa 2020 ni baada ya Rais aliyekuwa madarakani kufa ndipo Samia akakasimiwa madaraka na Katiba..sio uchaguzi
Kwahiyo ukirithishwa vya wizi vinakuwa vya halali? Walioharibu uchaguzi ni CCM na rais wa Sasa ni CCM na alikuwepo kwenye huo uchafuzi/uchaguzi wa 2020.
 
Nadhani mwanamke mwenzaoTulia yuko kikazi zaidi, zama zao zimeondoka na Ndugai.Sasa hiv nyeusi itabaki nyeusi.
 
Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.
Anzisha chama ili muiondoe CCM kaka/Dada.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…