Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.
NimechekaaaaHawa ni Makerubi wa Mfalme Zumaridi
Niliona kama una hoja inayotakiwa kuthibitishwa. Lakini unaposema CHADEMA haina nguvu yoyote sasa naona una hasira tu na hicho chama. Labda unakipima kwa idadi ya wabunge, madiwani, n.k. Nguvu ya CHADEMA iko kwa wananchi.Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika
So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume
Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema
Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
Kwani sasa hivi hawana vyeo?Kuwahakikishia vyeo na nafasi za upendeleo.
Msitu gani?Kuitoa ccm madarakani kwa katiba hii hakuhitaji chama imara cha upinzani, bali kunahitaji kundi la watu kuingia msituni. Fahamu ccm haiko madarakani kwa box la kura, bali nguvu ya vyombo vya dola.
CCM wa hawafai,Yule dada wa Chato,wakachoma hadi nyumba ili afie humu...Bahati nzuri akawa ametonywa mapema,akawa hayumo...Ta
Naomba katika watakaoteuliwa asikose Hilda Newton na yule dada wa chato aliyepambana kipindi Cha Magufuri mpaka akakamatwa.
Msitu gani?
Nendeni tu!Msitu wa Congo.
Kama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?
Cheo cha uhakika ni kipi ambacho hawana na sasa wanaishi kwa ugumu sana?Ni vya uhakika? Au hujaona neno kuwahakikishia vyeo vya upendeleo?
Nendeni tu!
Mbona kigogo aliwashauri hivyo mkamwita mpumbavuKuitoa ccm madarakani kwa katiba hii hakuhitaji chama imara cha upinzani, bali kunahitaji kundi la watu kuingia msituni. Fahamu ccm haiko madarakani kwa box la kura, bali nguvu ya vyombo vya dola.
Cheo cha uhakika ni kipi ambacho hawana na sasa wanaishi kwa ugumu sana?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwani kabla ya hivyo vyeo walikuwa wanaishi vipi?Cheo cha ukatibu mkuu, na ubunge wa michongo.
Kwa hiyo unachukua ushauri wa mtu unaemjua na kumuona tu?Ww unamjua Kigogo, unamjua hata kwa sura? Ww hua unachukua ushauri wa robot? Yeye mwenyewe hata kufahamika anaoogopa, sasa atamshauri nani?
Kwa hiyo unachukua ushauri wa mtu unaemjua na kumuona tu?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hebu weka suti na picha zao za kabla na baada tuone!Uliwahi kuona kaunda suti za Bashiru na Kabudi kabla ya kupewa vyeo na dhalimu zilivyokuwa zimefubaa? Unadhani kabudi alisema ametolewa jalalani kwa bahati mbaya? Uliona Polepole ngozi ilivyokuwa imembana na yale machunusi yasiyo na mpangilio? Ilikuwa hata ni shida kukadiria umri wake. Alipokuwa akisema yeye ni kijana mdogo mpaka ilikuwa inapoteza maana halisi ya ujana.