Umechanganya madesa, yule alikuwa wa Chama chetu Tawala Dr. Mwanjelwa.Sophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?
Hebu weka suti na picha zao za kabla na baada tuone!
[emoji23][emoji23][emoji23]Wale wameshayapatia maisha, hutawaona mkila wote vumbi hata siku moja!
Na hata watoto na wajukuu zao wameshaingizwa kwenye chain wakimaliza chuo hawatapanga foleni kugombea ajira na watoto wako hata siku moja.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Naona kwa mbali Hilda newton na yule aliyekuwa mbunge wa mlimba wakipiga jaramba
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Exactly, huu ndiyo utaratibu....
Mimi nashauri hata kama CHADEMA watapitia upya maamuzi ya kuwafukuza, tukumbuke kuna ishu ya jinai ya kufoji nyaraka....
Wakitaka kurudi basi, watoe ushirikiano kumweka/kuwaweka wazi waliotumiwa na CCM ya Polepole na Bashiru + NEC ili kughushi nyaraka za chama zilizowapa uhalali wa kuwa bungeni....
Aliyewateua!Nani kawaambia wajiuzulu??
Walewale kasoro majina yao.Acha stori za awamu ya tano hii ni awamu ya sita. Na Rais ni mpya siyo yule mwingine.
Ukimaanisha Marehemu Jo Pombe...!!? au aliyewalinda Jo ******!!? Maana wote wamefyekelewa mbali na kwa sasa si msaada tenaAliyewateua!
Hata Wakijiuzulu Haisaidii ni WASALITI TUKuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Hata Wakijiuzulu Haisaidii ni WASALITI TU
Condition za hisia au kanuni za katiba ya chama chao kwa wahaini inakuwajeNashauri kwa watakaosamehewa condition iwe hakuna tena ubunge na watakuwa kwenye uangalizi kwa miaka mitatu, ambapo hawataruhusiwa kugombea nafasi yoyote.