Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Katiba inaruhusu mikutano

Mbona hamfanyi now?

Tukifanya tunakamtwa na kufunguliwa kesi za ugaidi na kufungwa jela. Kuna kesi nyingi Sana Singida na Mbeya za wanachama wa CHADEMA kukamatwa.
 
Tukifanya tunakamtwa na kufunguliwa kesi za ugaidi na kufungwa jela. Kuna kesi nyingi Sana Singida na Mbeya za wanachama wa CHADEMA kukamatwa.

But katiba si inawaruhusu?
 
Usichanganye mambo kifala wewe! Aliyeiba mataulo alikuwa mbunge viti maalum ccm tena aliwagi kupewa hadi unaibu waziri wakati fulani. Na ana katitle ka Dr sijui nani vile. Ngoja nikumbuke
Mwanjelwa!
 
Wangekuwa wameshatoka long time, mnaweza kukubaliwa kufanya siasa za ndani na mikutano lakini sio Jambo la wale wabunge

Mlisema magu amekufa then wanatoka, mkasema Samia atawatoa, mkasema ndugai kafa watatoka mtaongea hivyo hivyo mpaka 2025

Ndugai kaondoka kuwa na subira. Maana spika mpya kashatoa msimamo wake kwamba yeye anasubiri mchakato wa CHADEMA. Anayesubiriwa Ni CHADEMA Ili kelele ziishe.
 
Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Nadhani huwajui wanasiasa wa Tanzania mkuu. Wanasiasa wa Tanzania zaidi ya 90% lengo lao la kujiunga na siasa ni kipato na siyo kukusaidia ww mpiga kura. Kwa hiyo hao uviko19 na wengine wote ambao wako nje ya Bunge lengo lao ni moja
 
Acha unafiki wewe! Ina maana chama kilimtoa Nusrat usiku jela na kumpeleka bungeni? Mbonq mnakuwa waongo hivyo?
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Na kuna wa kuitwa Makonda yuko njiani kuipita njia hiyo iendayo Chato...
 
Huijui nguvu ya Zitto, yeye si ndiye negotiator wa kutaka Mbowe aombe msamaha na mke wake ni Mkuu wa Wilaya.

Hapana, Mbowe katoka kwaajili ya nguvu ya umma. Kuanzia Wafuasi wa CHADEMA, Wananchi mpaka Viongozi wa dini. Huyo Zitto Ni opportunist tangu zamani Hana ushawishi wowote.
 
Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Dah.....siku ukifikiri kwa Uhuru ndiyo utajua maana ya vyeo na mali 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…