econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Katiba inaruhusu mikutano
Mbona hamfanyi now?
Tukifanya tunakamtwa na kufunguliwa kesi za ugaidi na kufungwa jela. Kuna kesi nyingi Sana Singida na Mbeya za wanachama wa CHADEMA kukamatwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inaruhusu mikutano
Mbona hamfanyi now?
Tukifanya tunakamtwa na kufunguliwa kesi za ugaidi na kufungwa jela. Kuna kesi nyingi Sana Singida na Mbeya za wanachama wa CHADEMA kukamatwa.
Anasubiri barua!Tulia Anasema Nini
Usichanganye mambo kifala wewe! Aliyeiba mataulo alikuwa mbunge viti maalum ccm tena aliwagi kupewa hadi unaibu waziri wakati fulani. Na ana katitle ka Dr sijui nani vile. Ngoja nikumbukeSophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?
Dr Marry Machuche Mwanjelwa, Masters degree yake pale SAUT aliipata kwa mbinde sana, siwezi sahau hili.Yule anaitwa Mwanjelwa wa CCM!
Ni PhD holder ila kwa sasa siyo mbunge.
Mwanjelwa!Usichanganye mambo kifala wewe! Aliyeiba mataulo alikuwa mbunge viti maalum ccm tena aliwagi kupewa hadi unaibu waziri wakati fulani. Na ana katitle ka Dr sijui nani vile. Ngoja nikumbuke
Dr Marry Mwanjelwa.Usichanganye mambo kifala wewe! Aliyeiba mataulo alikuwa mbunge viti maalum ccm tena aliwagi kupewa hadi unaibu waziri wakati fulani. Na ana katitle ka Dr sijui nani vile. Ngoja nikumbuke
Sawa kabisa umenikumbushaYule anaitwa Mwanjelwa wa CCM!
Ni PhD holder ila kwa sasa siyo mbunge.
Wangekuwa wameshatoka long time, mnaweza kukubaliwa kufanya siasa za ndani na mikutano lakini sio Jambo la wale wabunge
Mlisema magu amekufa then wanatoka, mkasema Samia atawatoa, mkasema ndugai kafa watatoka mtaongea hivyo hivyo mpaka 2025
Nadhani huwajui wanasiasa wa Tanzania mkuu. Wanasiasa wa Tanzania zaidi ya 90% lengo lao la kujiunga na siasa ni kipato na siyo kukusaidia ww mpiga kura. Kwa hiyo hao uviko19 na wengine wote ambao wako nje ya Bunge lengo lao ni mojaVirusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Acha unafiki wewe! Ina maana chama kilimtoa Nusrat usiku jela na kumpeleka bungeni? Mbonq mnakuwa waongo hivyo?Tatizo la hili sakata ni taasisi mbili kuhusika
Kwanza Bunge na pili ni tume ya uchaguzi na hapo ndio kuna ugumu
And shida kubwa inakuja kutokea ni pale barua ya kupeleka majina ya viti maalum na majina yaliokwenda bungeni hapo sasa ndio patamu
Hili swala ni gumu Sana na siku mdee akiamua kuongea yaliotokea kwenye kikao Chao mpaka wakataka kupigana kisa Tu alikuwa anakataa majina ya watu ambao waliletwa na viongozi madhan kila mtu atakuwa kimya
Na kuna wa kuitwa Makonda yuko njiani kuipita njia hiyo iendayo Chato...Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Huijui nguvu ya Zitto, yeye si ndiye negotiator wa kutaka Mbowe aombe msamaha na mke wake ni Mkuu wa Wilaya.
Hujaelewa nilichoandikaHapana, Mbowe katoka kwaajili ya nguvu ya umma. Kuanzia Wafuasi wa CHADEMA, Wananchi mpaka Viongozi wa dini. Huyo Zitto Ni opportunist tangu zamani Hana ushawishi wowote.
Dah.....siku ukifikiri kwa Uhuru ndiyo utajua maana ya vyeo na mali 🤭Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Huyu aliomba msamaha, atsfikiriwa!
Hujaelewa nilichoandika
Subiri kwanza Joyce ateuliwe ndo tuone kama nafasi zitabaki.Ta
Naomba katika watakaoteuliwa asikose Hilda Newton na yule dada wa chato aliyepambana kipindi Cha Magufuri mpaka akakamatwa.
HapanaSophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?
We fala umenichekesha 🤣🤣🤣🤣Ila kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....