Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Hakuna mtu aliomba msamaha hata mmoja na last week walienda gerezani kumsalimia Mwenyekiti, and he was very happy kuwaona hahaha siasa tamu

Hata wawe na Furaha kiasi gani, haonsio wanachama wa chadema. Walienda Kama Raia wa kawaida tu hawajazuiwa. Hiyo sio hoja ya kuwasamehe.

Halafu wakati wanavuliwa uanachama mbona Mwenyekiti hakuwasaiidia?. tofautisha office bearers na institution. Office bearer Hana nguvu mbele ya institution. Hivyo wao wabaki na Mwenyekiti, sisi tunasubiri maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA. Spika alishatoa mwongozo.
 
Majina mapya kwani katiba mpya tayari? Kwani tume huru tayari? Hahaha mlisema hamtaki viti maalum Kwa sababu ya hayo Mambo

Imekuwaje tena

Acha zako. Mbowe alikamatwa kwenye kongamano linalohusu Nini?. Halafu, Rais kamwita Mwenyekiti wa chama ikulu unajua waliongea Nini.

Kuhusu Tume huru tayari Kuna kamati imeubdwa kuanzisha mchakato.
 
Mlikuwa na nguvu Kwa jk now hakuna kitu chochote

Nguvu uliyonayo inapimwa na reaction ya mpinzani wako. Reaction ya CCM na serikali ndio zinafanya uone upinzani una nguvu.

Kama unakumbuka, kwa Mara ya kwanza Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 mtandao ulizimwa na serikali kisa hofu ya upinzani. Pia kuwatumia Ma RC, wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Refer alichofanya Chalamila siku ya uchaguzi Mbeya Mjini na alichofanya Sabaya Hai.

Kama upinzani hauna nguvu kwanini uzime mitandao siku ya uchaguzi ? Unaogopa Nini?.
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Mbona wao CHADEMA walisema ule uchaguzi wa 2020 ulikuwa ni UCHAFUZI na hawatapeleka majina, bungeni, sasa kauli ile wameibadilisha? Na kwa sababu gani wameibadisha? Ukata?
 
Acha zako. Mbowe alikamatwa kwenye kongamano linalohusu Nini?. Halafu, Rais kamwita Mwenyekiti wa chama ikulu unajua waliongea Nini.

Kuhusu Tume huru tayari Kuna kamati imeubdwa kuanzisha mchakato.

Ww unajua alimwambia nn
 
Wakati hayo yanafanyika hawa wote si walikuwepo?

Mama Samia alikuwa makamu wa rais, so na yy anajua kila kitu na story yote kuliko hata Sisi

Chadema ni maloser hamna nguvu now ya kudemand anything

Nyie si mlikuwa hamtaki mambo ya kila Mbunge afanye siasa kwenye Jimbo lake? What happen now

Nyie si mlikuwa mnadai katiba mpya mpaka mnafunga barabara?

Ile nguvu imekwisha

Kama huijui nguvu ya CHADEMA pole sana. Nguvu ya CHADEMA ndio nguvu iliyomfanya Lissu akapona na Mbowe kutoka gerezani. Usiwe na Roho ngumu CHADEMA wanadeserve hongera kwa hapa walipofika. Wamepitia kila dhihaka na maonevu, lakini kwa nguvu wamepita kote.

Kusema hawana nguvu unakosea Sana. Nguvu wanayo, ndio maana wababe wote wameachia njia wenyewe, kuanzia Magufuri mpaka Ndugai waliotumia nafasi zao kudidimiza upinzani.
 
Usichanganye mambo kifala wewe! Aliyeiba mataulo alikuwa mbunge viti maalum ccm tena aliwagi kupewa hadi unaibu waziri wakati fulani. Na ana katitle ka Dr sijui nani vile. Ngoja nikumbuke
Mwanjelwa
 
Ww unajua alimwambia nn

Matokeo tutayaona siku sijazo ndio kujua waliongea Nini. Hata karume na Maalim Seif waliongea Ikulu, mwisho kura ya maoni ikapigwa na katiba kufanyiwa marekebisho. Usiwe na haraka
 
Matokeo tutayao a ndio kujua waliongea Nini. Hat karume na Maalim Seif waliongea, mwisho kura ya maoni ikapigwa na katiba kufanyiwa marekebisho. Usiwe na haraka

Hahahahahahaha
 
Kama huijui nguvu ya CHADEMA pole sana. Nguvu ya CHADEMA ndio nguvu iliyomfanya Lissu akapona na Mbowe kutoka gerezani. Usiwe na Roho ngumu CHADEMA wanadeserve hongera kwa hapa walipofika. Wamepitia kila dhihaka na maonevu, lakini kwa nguvu wamepita kote.

Kusema hawana nguvu unakosea Sana. Nguvu wanayo, ndio maana wababe wote wameachia njia wenyewe, kuanzia Magufuri mpaka Ndugai waliotumia nafasi zao kudidimiza upinzani.

Shekhe mkuu ndio kafanya mbowe atoke wala sio chadema, ni huruma Tu Kwa utawala

That's why mbowe alisema anamshukuru mama Kwa kuwa concern

Nyie hamna nguvu now, endeleeni kugombana na wanawake 19 basi
 
But katiba si inawaruhusu?

Ndio swali gani Hilo. CHADEMA wanapopigania katiba mpya unadhani wanapigania nini?. Kumbe hata hujui dhima ya katiba mpya.

Katiba yetu Ina upungufu mmoja imekuwa overriden na sheria za bunge. Kwa mfano Katiba Ina sema watu wote Ni sawa mbele ya sheria. Lakini Sheri hiyo hiyo inamzuia Rais kulipa Kodi Ila wananchi sheria inawataka walipe Kodi.
 
Nilimpenda Sana Halina Mdee! Alikuwa mwanamke wa kutumainiwa Sana. Amejiharibia!
 
Nashauri kwa watakaosamehewa condition iwe hakuna tena ubunge na watakuwa kwenye uangalizi kwa miaka mitatu, ambapo hawataruhusiwa kugombea nafasi yoyote.
Mitatu michache,,isipungue miaka 5
 
Shekhe mkuu ndio kafanya mbowe atoke wala sio chadema, ni huruma Tu Kwa utawala

That's why mbowe alisema anamshukuru mama Kwa kuwa concern

Nyie hamna nguvu now, endeleeni kugombana na wanawake 19 basi

Huwezi kuijua nguvu ya chadema au unaijua lakini unaikana. Halafu hatugombani na wanawake, Bali tunataka mchakato wa chama ufuatwe na sio mtu anjiamulia kwenda bungeni wakati chama hakijamteua.

Halafu shehe mkuu alitumika kwa busara ili wewe uje useme ulichosema. Lakini Mbowe kutoka kulianzia pale Mbowe alipolalamika wenzake hawapati chakula, na baadae upande wa mashtaka kuondoa mashahidi waliobakia Kama tisa na kufunga ushahidi wake, Rais kuonana na Tundu Lissu, na nguvu za wanachadema na wananchi kwa ujumla. Pia kesi yenyewe haikuwa na nguvu ushaidi ulikuwa wakujikanyaga tu.
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Ongeza Look V
Challa Milla
 
Back
Top Bottom