kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Ruzuku ni Fedha kodi za waTz, wakiwemo CCM,CDM na wengine...!Kwani ruzuku ni fedha za CCM?
Mazafanta!
Ili uwadhihirishie hao CHADEMA kuwa wewe siyo MPUMBAVU,wawekee na udhibitisho hapa jamvini kua wanapokea ruzuku,hawajui kua wewe una akili sana,hebu wafanyie waone,ikiwezekana kama wewe ndo uliwapa ruzuku,wadhihirishie fasta,hawa CHADEMA wanazingua.Ruzuku mbona haikataliwi...!
Kwakua mke wako hayumo utajinyonga mzeee. Mlitaka mpele wake zenu.COVID 19
Hapa swali la Ester bulaya linajibiwa wanawatetea watanzania shida iko wapi?
Ruzuku mbona haikataliwi...!
Kwakua mke wako hayumo utajinyonga mzeee. Mlitaka mpele wake zenu.
Mwisho wa kufikiri?Ruzuku mbona haikataliwi...!
Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma.
Itakumbukwa Wabunge hao tayari walishavuliwa uanachama na chama chao mwishoni mwa mwaka jana kwa madai ya kukiuka utaratibu wa chama chao.
Wabunge hao ambao ni pamoja na Halima Mdee na Ester Bulaya, wametinga mjengoni wakiwa wamevalia mavazi meusi huku Mdee akiwa amevaa barakoa kwa lengo la kujikinga na maambukizo ya virusi vya corona.
Hata hivyo kabla ya kuanza kikao cha Bunge, Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi na Wenye ulemavu, Jeniste Mhagama aliwaomba watoke nje kwanza.
Spika Job Ndugai ameomba wabaki nje kwanza na baada ya dua ameanza kuwaita akianza na wabunge watano wa kuteuliwa, kisha wakaingia wabunge watano wa ACT.
Mwisho waliitwa wabunge 19 wa Chadema wakiongozwa na Ester Matiko na Cesilia Pareso.
Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya hawakuwa miongoni mwa walioingia mapema leo.
View attachment 1692348
View attachment 1692255
Clip ya uchochoroni hiyo,Baraza Kuu halijakaa kuwajadili na kamwe hawatarudishwa,hao watabaki kuwa wabunge wa Ndungai hadi 2025, huu ukiwa ni ushahidi wa jinsi kodi zetu zinavyochezewa.Ivi mbona kuna Clip nimesikiliza Juzi juzi hawa Wabunge 19 baraza lao kuu wameshawarudishia uwanachama wao?? Ivi Baraza wamekubaliana waendelee na ubunge wao ama inakuwaje naona sielewi hapa imekaaje hili sakata? naomba ufafanuzi
Wacheni propaganda mfu hizo, hakuna ruzuku iliyotumwa, na hata ingetumwa haitokani na hao covid 19, ruzuku inakokotolewa kutokana na idadi ya kura alizopata mgombea Urais na idadi ya wabunge wa kutoka majimboni.Ruzuku mbona haikataliwi...!
Mtakufa kwa pressure . waacheni wanawake hao wachape kaziWw uko bungeni, umeenda kama mke wa nani?
Sawa tuuuuu. Ila maisha yanaendeleaaClip ya uchochoroni hiyo,Baraza Kuu halijakaa kuwajadili na kamwe hawatarudishwa,hao watabaki kuwa wabunge wa Ndungai hadi 2025, huu ukiwa ni ushahidi wa jinsi kodi zetu zinavyochezewa.
Nafikiri hilo litafuata baada ya Baraza Kuu kusikiliza rufaa yao, kwani hadi sasa Chadema hawajamuandikia Spika na NEC juu ya fate yao kwa vile mchakato wa kuwafukuza haujakamilika.Kama CDM wangekuwa makini wangeomba tafsiri ya Mahakama kuhusiaana na uhalali wao kuwakilisha chama wakati si wanachama.
Mtakufa kwa pressure . waacheni wanawake hao wachape kazi
Umeshalifukuza hilo bumunda halielewi lipo lipo tu.Ili uwadhihirishie hao CHADEMA kuwa wewe siyo MPUMBAVU,wawekee na udhibitisho hapa jamvini kua wanapokea ruzuku,hawajui kua wewe una akili sana,hebu wafanyie waone,ikiwezekana kama wewe ndo uliwapa ruzuku,wadhihirishie fasta,hawa CHADEMA wanazingua.
Baraza Kuu, walikuwa wanawavizia tu akina Halima. Hawakutaka kukutana, mpaka ujanja na uchu wa kuutaka Ubunge ufike mwisho. Kwa sasa sina shaka litakutana na kubariki kufukuzwa kwao.Sasa hao walikata rufaa ya nini kama tayari wanakimbilia bungeni wakati rufaa yao haijasikilizwa.
Hapo sasa ndipo baraza kuu likae na liwafukuze kabisa ndio waje wawe wabunge wa mahakama. Iweje leo Magufuli awang'ang'anie wakati alisema wapinzani ndio wanazuia maendeleo.!
Ata ww pia umetoka kapaShule ngumu sana wengine mmetoka kapa
Ata ww pia umetoka kapa
Inaonesha haukulelewa vizuri na wazazi wako.Bunge linazidiwa Ubora na DANGULO la MAKAHABA