Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na CHADEMA washiriki kikao cha Bunge leo

Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na CHADEMA washiriki kikao cha Bunge leo

Ruzuku imechukuliwa mbona kwenye uchaguzi wanaoita fake, ila tuache kuwasakama hawa mademu acha wapige kazi mjengoni ajira hii tamu sana.

Hilda Newton anatamani kupasuka maana angekuwemo saivi mjengoni
Ata wezi na mafisadi tuachane nao maana hakuna asiependa utajiri.
 
Mkuu haita saidia katika kipindi hiki. Ni kukubali yaishe kwa sasa, lakini kwa vile jinai haina expired date kuna siku Ndugai atakuja kubebwa kutokea kijijini kwake huko Kongwa kuja kujibu mashtaka ya kukanyaga katiba aliyo APA.

Kwa taarifa kuvunja katiba ni kosa kubwa sana Ila tunaliona dogo kwa sasa kwa vile hajawahi shtakiwa mtu
Tayari wameisha wekewe kinga ata wavunje Katiba kiaje
 
Ruzuku ni Fedha kodi za waTz, wakiwemo CCM,CDM na wengine...!
Shida hapa uhalali wa Ruzuku kuliwa kigenge cha wachache na uharamu wa wanaosababisha ije unatokea wapi....! Kama umeamua kususa SUSA mwanzo mwisho sio huu usanii..!
Tatizo mnaongea bila ata kujua sheria sema ata sheria hamzitaki.Kwa ufupi nyie ni watu wa dhuluma
 
Kwahiyo Ndugai ndiyo amelelewa na wazazi vizuri? Shetani sio mpaka awe motoni.
Kwa hii hoja yako ndio inakupa uhalali wa kufananisha Bunge na danguro?
Unayajau yanayofanyika kwenye madanguro?
 
Imagine angekuwepo DJ mjengoni, mida hii angekuwa anatafakari jinsi ya kupenyeza hoja kuwa kuna Corona....! Watu wasuse
 
Na huo ndio mwisho wa senema yetu! Wajinga ndio waliwao!
 
Back
Top Bottom