Hakuna cha kura ya ndiyo au hapana. Hapo wanasubiri kuapishwa tu! Hapo ndipo tunasema reforms lazima. Chura kiziwi anajifanya kiziwi tu!Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.
Majina yao ni yafuatayo:
1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa
2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela
3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda
4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki
5. Yohana Msita Jimbo la Itigi
6. Emmanuel Kingu Jimbo laSingida Magharibi
7. Salma Kikwete Jimbo la Mchinga
8. Yanick Ndoinyo Jimbo la Ngorongoro
Kimsingi wabunge wote wa CCM wamepita bila kupingwa. Labda Zanzibar ndiyo mambo ni tofauti.Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.
Majina yao ni yafuatayo:
1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa
2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela
3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda
4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki
5. Yohana Msita Jimbo la Itigi
6. Emmanuel Kingu Jimbo laSingida Magharibi
7. Salma Kikwete Jimbo la Mchinga
8. Yanick Ndoinyo Jimbo la Ngorongoro
Uchaguzi UPO kusema hakuna uchaguzi ni kukosea .Uchaguzi upi huo? Mi najua hakuna uchaguz
Uchaguzi UPO kusema hakuna uchaguzi ni kukosea .
Ambacho hakipo ni total democracy and partial democracy.
Kwahiyo Ccm wana 90% ya kushinda kabla ya kura kupigwa .