Wapeni hongera hao waheshimiwa.Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.
Majina yao ni yafuatayo:
1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa
2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela
3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda
4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki
5. Yohana Msita Jimbo la Itigi
6. Emmanuel Kingu Jimbo laSingida Magharibi
7. Salma Kikwete Jimbo la Mchinga
8. Yanick Ndoinyo Jimbo la Ngorongoro
Ingekuwa NIDA hawaingilii huu Uchaguzi wa Malawi basi wale waliotengwa wangeamua kuambizana kumwaga mboga kwa kumchagua Mpinzani mmoja..
Ila kwa sasa hata mkipiga Dola ya Malawi ina akaunti ya Kura huko NIDA zitajaa tu...
Ndo maana sasa hivi watu wanasafirishwa ili viwanja vijae wahalalishe na hizo za NIDA.
Uchaguzi unafanyika mkuu , na viongozi watatangazwa
Mh.Dotto Biteko vp
Kimsingi Wabunge wote wa Ccm wameshapita na kura/uchaguzi ulishafanyika na matokeo yalishaandaliwa.
Ccm imeshinda ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90%
Tunaendelea kukamilisha taratibu tukisubiri kutangazwa kwa matokeo na Tume Huru kabisa ya Uchaguzi. Na tarehe ya uapisho ilishapangwa bado kuwekwa hadharani.
Nb: Nani anakudanganya hamna uchaguzi. Ina maana haya matokea yametoka wapi.
Kwani hata kama kila Mkoa watakuwa na mgombea mmoja tu ama wa Ubunge ama Udiwani si tayari watakuwa wametimiza ahadi ya kusimamisha wagombea nchi nzima?Chaumma walisema wamesimamisha wagombea nchi nzima, kulikoni tena?
Huyu kashapitaNgoja nicheki kama na yeye amepita kwenye orodha ya NEC