GE2025 Wabunge 8 ambao wamepita bila kupingwa mpaka Sasa

GE2025 Wabunge 8 ambao wamepita bila kupingwa mpaka Sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.

Majina yao ni yafuatayo:

1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa

2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela

3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda

4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki

5. Yohana Msita Jimbo la Itigi

6. Emmanuel Kingu Jimbo laSingida Magharibi

7. Salma Kikwete Jimbo la Mchinga

8. Yanick Ndoinyo Jimbo la Ngorongoro
Yule mama wa Malinyi aliyesema 2029 tunatiki si nayeye alisema amepita bila kupingwa na chama kimetenda haki.
Anaitwa nani yule bibie?
 
Mpaka Sasa wagombea ubunge wafuatao ambao wamepita bila kupingwa na wanasubiria kura ya ndio au hapana.

Majina yao ni yafuatayo:

1. Masache Kasaka Jimbo la Lupa

2. Ulimboka Mwamengo Jimbo la Kyela

3. Jafary Rajab Seif Jimbo la Busanda

4. Jesca Kishoa Jimbo la Iramba Mashariki

5. Yohana Msita Jimbo la Itigi

6. Emmanuel Kingu Jimbo laSingida Magharibi

7. Salma Kikwete Jimbo la Mchinga

8. Yanick Ndoinyo Jimbo la Ngorongoro
Kwa mara ya kwanza jina la January Makamba halipo katika hiyo list.
Haki imetendeka Bumbuli.
 
CCM kwenye urais watashinda kwa asilimia 98 labda wawaongezee wengine kidogo.
Ushindi wa 98% Samia ni kwa sababu ...amemzuia Lissu lakini kubwa kuliko ni mifumo kuonana.
 
Back
Top Bottom