GE2025 Wabunge 8 ambao wamepita bila kupingwa mpaka Sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
WENYE NAVYO WATUBANA.
shairi
 
9. Bashite
10. Shigongo
11. Mganga wa baba Latifa
12. Abidu Misholi wa Moro tauni
13. Tuki Nao
14. Roo Ndoo
15. Mkwe wa Kizimkazi
 
Yericko Nyerere vipi hajapita bila kupingwa? Au uchawi haujamsaidia?
 
Wasipingwe wote tu na jeshi liingie humo mbona kuna nafasi kubwa mle !!
 
CCM kwenye urais watashinda kwa asilimia 98 labda wawaongezee wengine kidogo.
Ingekuwa NIDA hawaingilii huu Uchaguzi wa Malawi basi wale waliotengwa wangeamua kuambizana kumwaga mboga kwa kumchagua Mpinzani mmoja..
Ila kwa sasa hata mkipiga Dola ya Malawi ina akaunti ya Kura huko NIDA zitajaa tu...
Ndo maana sasa hivi watu wanasafirishwa ili viwanja vijae wahalalishe na hizo za NIDA.
 
Ngoro ngoro kuna watu Bado wanaishi?, au hawajahamishwa Bado??
 
Mh.Dotto Biteko vp

Kimsingi Wabunge wote wa Ccm wameshapita na kura/uchaguzi ulishafanyika na matokeo yalishaandaliwa.

Ccm imeshinda ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90%

Tunaendelea kukamilisha taratibu tukisubiri kutangazwa kwa matokeo na Tume Huru kabisa ya Uchaguzi. Na tarehe ya uapisho ilishapangwa bado kuwekwa hadharani.

Nb: Nani anakudanganya hamna uchaguzi. Ina maana haya matokea yametoka wapi.
 
Rizmoko wapi
 
Singida HAWATAKI kabisa kusikia kitu inaitwa Lissu wala Chadema. Ni CCM naama Samia tu!
"Kazi na Utu Tunasonga Mbele"
"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"!
 
Eng Ezra John Chiwelesa jimbo la biharamulo magharibi

Dotto Bahemu jimbo la ngara

Innocent Bashungwa Kyerwa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…