GE2025 Wabunge 8 ambao wamepita bila kupingwa mpaka Sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wapeni hongera hao waheshimiwa.
 

Kweli ule mfumo wa NIDA na NEC unaibeba CCM
Uchaguzi unafanyika mkuu , na viongozi watatangazwa

Watatangazwa kwa nguvu
 

Pia upinzani ni kama wamekuwa. Hata mikutano yao haina watu.
 
Singida HAWATAKI kabisa kusikia kitu inaitwa Lissu wala Chadema. Ni CCM naama Samia tu!
"Kazi na Utu Tunasonga Mbele"
"KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI"!

Nani alimwambia?. Mbona Mwigulu hajapita bila kupingwa.
 
Eng Ezra John Chiwelesa jimbo la biharamulo magharibi

Dotto Bahemu jimbo la ngara

Innocent Bashungwa Kyerwa

USSR

Noted mkuu. Mwaka huu CCM watapita wengi basi
 
Kwani hata kama kila Mkoa watakuwa na mgombea mmoja tu ama wa Ubunge ama Udiwani si tayari watakuwa wametimiza ahadi ya kusimamisha wagombea nchi nzima?

Nadhani CHAUMMA walimaanisha majimbo yote nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…